Ni nani huyu Lameck Madelu Mkumbo??

hizi ni propaganda zisizo na kichwa wala miguu
.................zipi ambazozenye kichwa na miguu?. Hapa hakuna siasa ni kitu ambacho kimeandikwa kwenye gazeti ambalo linasomwa Tanzania nzima, kinachotakiwa kama unaona hiki kitu siyo cha kweli upinge kwa hoja na ushahidi na siyo kukataa tu sababu ushazoea kila kitu kukataa.
 
exactly! Nadhani hata huyu Burn karudi alitumia huu mtindo wa zamani wa watu waliofaulu lakini hawana fedha kwa ajili ya kuendelea na masomo yalichukuliwa ama kununuliwa na watoto wa wenye fedha waliofeli hasa shule za primary, huu mtindo ulikuwa common sana zamani na ndio unaomfanya mama yangu kila siku analaumu nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine kisa mama yangu hakuwa na uwezo wa kifedha kujiendeleza na masomo ya sekondari na mpaka sasa huyo mtu anatumia jina la mama yangu kwenye kazi yake lakini hana hata shukurani

Hana shukrani kivipi si alishampa chochote mama yako? lakini pia kusoma ni wito na bidii binafsi na ndio maana kuna mitihani hivyo basi huenda mama yako angeendelea asingefika hapo huyo mama alienunua alipo kwani si unajua mtu mpaka anafikia level flani ni kwa kuwa ana struggle kusoma, kuna wengine hata umpe jina lako na cheti cha form 6 na bado anaweza shindwa ku-perform
 
Nina amini waliotumia au wanaotumia majina ya watu wengine katika nyadhifa zao za sasa ni wengi sana. Hata hivyo unapokuwa katika hali kama hiyo ni vyema kuangalia ni kazi gani ufanye. Mfano walioko maofisini na majina ya watu wapati matatizo yoyote. Suala la kuingia kwenye siasa ndilo tatizo kubwa maana unakuwa na maadui wengi ambao siku zote wanachokifanya ni kuangalia mapungufu yako ili wakubomowe. Pamoja na mapungufu ya Nchemba katika nafasi yake, ninaamini kabisa hata angafanya vyema, bado maadui zake wangeweza kumuumbua kwa kuwa wanadhani kufanya hivyo kutawasaidia kumwondoa na wao kuchukua nafasi yake.
 
Hana shukrani kivipi si alishampa chochote mama yako? lakini pia kusoma ni wito na bidii binafsi na ndio maana kuna mitihani hivyo basi huenda mama yako angeendelea asingefika hapo huyo mama alienunua alipo kwani si unajua mtu mpaka anafikia level flani ni kwa kuwa ana struggle kusoma, kuna wengine hata umpe jina lako na cheti cha form 6 na bado anaweza shindwa ku-perform


Nadhani hujanielewa, mama yangu hakushindwa kusoma kwa sababu hakuwa na akili, bali alifaulu kwenda sekondari lakini kipindi hicho wazazi wake hawakiwa na uwezo wa kifedha kumwendeleza na masomo ya sekondari na hakukuwa na ufadhili wowote kama sasa, na naomba unielewe kuwa jina la mama yangu halikuuzwa bali liliibwa kiujanja bila mhusika kuwa na mawasiliano na mama yangu.
Pili, usimu-qoute mtu pasipo kumuelewa anachokiongelea, ni hayo tu
 
Nadhani hujanielewa, mama yangu hakushindwa kusoma kwa sababu hakuwa na akili, bali alifaulu kwenda sekondari lakini kipindi hicho wazazi wake hawakiwa na uwezo wa kifedha kumwendeleza na masomo ya sekondari na hakukuwa na ufadhili wowote kama sasa, na naomba unielewe kuwa jina la mama yangu halikuuzwa bali liliibwa kiujanja bila mhusika kuwa na mawasiliano na mama yangu.
Pili, usimu-qoute mtu pasipo kumuelewa anachokiongelea, ni hayo tu

JF ni forum ambayo ni ya kuongea kupitia maandishi ambapo sentence moja inaweza kutafsiriwa tofauti kutokana na jinsi alivyoisoma mhusika na ndio maana kuna ufafanuzi kama huo uliotoa wala sija comment kwa nia mbaya kwani kwa nilivyoelewa kwa kuwa alieiba jina anajulikana pia hana shukrani it seem like kulikuwa na some kind of agreement (hiyo ni assumption), uzuri umefafanua vizuri tu ulichokuwa unamaanisha hivyo kuwa na amani, hakuna mtu anaechangia kitu ambacho hajaelewa bali anachangia kwa mtazamo wa tofauti na mtoa comment kwa kuwa kila mtu ana uelewa tofauti na ndio maana hata mie nilielewa tofauti lakini ulipofafanua nikakuelewa unamaanisha nini (unajua humu tumo watu tofauti kuna ambao kidogo ni wazito kuelewa kama mie na kuna ambao wapo faster kuelewa issue ukisema wasichangie hoja kisha hawajaelewa sijui watajifunzaje sasa.
 
Natanguliza heshima kwenu wana JF!. Leo niliamua kuperuzi peruzi gazeti la Raia Mwema kwenye safu ya Maoni/Makala nikakutana na makala yenye kichwa cha habari kisemacho ''Nyerere angemkemea Dr. Slaa au CCM?'' ambayo imeandikwa na Arcado Ntagazwa.................. Ndani ya habari hii napenda nijikite zaidi kwenye paragraph moja ambayo mwandishi anasema:- ''Lakini, kwa mfano, mheshimiwa fulani anajua kuwa kuendelea kutumia majina ya kudandia kwa kughushi badala ya majina yake halisi ya Lameck Madelu Mkumbo, siku si nyingi yatamfikisha kwenye makosa ya kijinai. Wanasema ukitaka kuheshimiwa uanze kujiheshimu''..........mwisho wa kunukuu, nilikuwa napenda kufahamu huyu mheshimiwa aliyetajwa hapa kutumia jina lisilo lako wakati jina lake halisi ni Lameck ni yupi? je kwa nini atumie jina ambalo si lake kuna kitu gani anakificha na sheria ya nchi inasemaje katika suala kama hili?

LAMECK MWIGULU NCHEMBA aka LAMECK MADELU MKUMBO
Kuna sababu nyingi za mtu kubadili jina wala sio lazima ziwe sababu za kijinai; wafuatao ni watu maarufu ambao wamewahi kubadili majina na wamefanya mambo makubwa dunia hii!

1. Bill Clinton, Rais wa 44 wa Marekani alizaliwa William Jefferson Blythe.
2. Meles zenawi, Waziri mkuu wa Ethiopia aliyefariki majuzi alizaliwa Legesse Zenawi Asres.
3. Bingu wa Mutharika Rais wa Malawi aliyefariki mapema mwaka huu alizaliwa Brightson Webster Ryson Thorm.
4. Mobutu Seseseko Kuku ngbendu wa Zabanga, Dikteta wa zamani wa DR Congo ya Joseph Kabila alizaliwa Joseph Mobutu
5. Emperor Haile Sellasie wa Ethiopia alizaliwa Tafari Makonnen
4. Pele the all time soccer star from Brazil; alizaliwa Edson Arantes Don Nascimento.
5. Muhammad Ali; the all time boxing great; alizaliwa Cassius Clay.
6. Abedi Pele; mwanasoka maarufu wa kiafrika kutoka Ghana; alizaliwa Abedi Ayew.

nk. nk; tafakari mwenyewe hawa wote walikuwa na dhamira gani kubadili majina yao?!
Kwa maoni yangu tumbane Nchemba kwa kupoteza muda wa Bunge akitoa Hot air na jazba mithili ya kichaa, akili ndogo inajaribu kutawala akili kubwa! kwa hilo tubanane naye mpaka kieleweke, majina hayana maana afterall what is in a name! mwache ajiite chochote, japo siamini kama kweli yule alisoma Ilboru shule ya watoto wenye vipaji?!
 
Kuna sababu nyingi za mtu kubadili jina wala sio lazima ziwe sababu za kijinai; wafuatao ni watu maarufu ambao wamewahi kubadili majina na wamefanya mambo makubwa dunia hii! 1. Bill Clinton, Rais wa 44 wa Marekani alizaliwa William Jefferson Blythe. 2. Meles zenawi, Waziri mkuu wa Ethiopia aliyefariki majuzi alizaliwa Legesse Zenawi Asres. 3. Bingu wa Mutharika Rais wa Malawi aliyefariki mapema mwaka huu alizaliwa Brightson Webster Ryson Thorm. 4. Pele the all time soccer star from Brazil; alizaliwa Edson Arantes Don Nascimento. 5. Muhammad Ali; the all time boxing great; alizaliwa Cassius Clay. 6. Abedi Pele; mwanasoka maarufu wa kiafrika kutoka Ghana; alizaliwa Abedi Ayew. Kwa maoni yangu tumbane Nchemba kwa kupoteza muda wa Bunge akitoa Hot air na jazba mithili ya kichaa, akili ndogo inajaribu kutawala akili kubwa! kwa hilo tubanane naye mpaka kieleweke, majina hayana maana afterall what is in a name! mwache ajiite chochote, japo siamini kama kweli yule alisoma Ilboru shule ya watoto wenye vipaji?!
Umenena vyema mkuu, hata mimi nashindwa kukubali kuwa Lameck(Nchemba) alisoma Ilboru unless otherwise mwaka huo alioanza yeye shule wawe waliamua kuchukua watoto matahira na sio wenye vipaji.
 
Kuna wakati nilikutana na rafiki yangu msukuma wa magu.Jina alilotumia kusomea lilikuwa tofauti na lake halisi.Nikamwuliza kulikoni.Akaniambia miaka iliyopita maeneo ya kwao huko Magu ukiwa na jina la dini fulani hata ukiwa na akili vipi mtihani wa darasa la saba ulikuwa hufaulu.Kwa Yeye alipomaliza darasa la saba mara ya kwanza alifeli.Aliporudia alibadili jina akatumia jina la hiyo Dini na akafaulu mtihani wake wa darasa la saba.Inawezekana naye huyu labda alirudia darasa la saba enzi hizo akabadili jina.
 
hili jamaa linalovaa scarf shingoni huwa nalifananisha na kuu la maadui kwenye movie flani..haliwezi kuongea bila jazba na hizi ni tabia za watu empty headed kuficha upungufu wao
 
hili jamaa linalovaa scarf shingoni huwa nalifananisha na kuu la maadui kwenye movie flani..haliwezi kuongea bila jazba na hizi ni tabia za watu empty headed kuficha upungufu wao

yaani hili jamaa linapenda sifa kweli kweli ... linazunguka limevaa scarf ... hovyo kabisa

disgusting ...!!!!!
 
hapa ni tofauti mkuu, huyu jamaa hajafoji vyeti, ametumia tu kusoma jina ambalo linadaiwa sio la kwake lakini ubongo uliotumika ni wake kabisaaaaa wala sio wa mwenye jina (kama ni kweli yupo)
 
kamata huyooooo.......sasa watumbuaji imefika muda wa wao kutumbuliwa na kutumbuana,huyu anamtumbua mwenzie jipu la mgongoni,mwenzie anamtumbua la kwapani,kweli muosha huoshwa
 
Ndio Maana jina Mwigulu haliendani na majina ya Kinyiramba, kumbe aliiba jina la Msukuma
 
...Anajiita/anaitwa Mwigulu Lameck Nchemba, jina ambalo anadaiwa na watu kadhaa hasa humu JF si la kwake!

Hata yeye ameshakiri kwamba si lake originally. Ati ''alibatizwa'' na daktari mmoja msomi huko kijijini kwao siku flani alipokwenda kutibiwa baada ya daktari yule kulikataa jina lake la asili.
 
Back
Top Bottom