Ni Nani Huyu Aliyeiweka Serikali na TRA Mfukoni?

Sufa

Member
Nov 26, 2006
30
1
[/B]"PCCB seizes multibillion illicit sugar
The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has impounded a consignment of contraband sugar worth Sh3.7 billion which an importer had sought to avoid paying tax for under the ‘transit goods’ cover ."

From IPPmedia.com. Mwenye habari zaidi za jina na kampuni atuwekee hapa, nashindwa kumuelewa Bwana Hosea kuficha jina la mtu aliyekamatwa kwenye till. Na nini kimetokea kwa ulemsemo anaisaidia polisi katika uchunguzi?

Tunahitaji kujua kwani ni pesa zetu.
 
[/B]"PCCB seizes multibillion illicit sugar
The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has impounded a consignment of contraband sugar worth Sh3.7 billion which an importer had sought to avoid paying tax for under the ‘transit goods' cover ."

Mwenye uwezo huo hapa tz sana sana ni METL.....(just guessing sina inside info)
 
[/B]"PCCB seizes multibillion illicit sugar
The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has impounded a consignment of contraband sugar worth Sh3.7 billion which an importer had sought to avoid paying tax for under the ‘transit goods' cover ."

From IPPmedia.com. Mwenye habari zaidi za jina na kampuni atuwekee hapa, nashindwa kumuelewa Bwana Hosea kuficha jina la mtu aliyekamatwa kwenye till. Na nini kimetokea kwa ulemsemo anaisaidia polisi katika uchunguzi?

Tunahitaji kujua kwani ni pesa zetu.

Hivi una imani na huyo Bwana Hosea? Kwa taarifa yako huyu ndio mzee wa madili....very very corrupt idiot
 
Why guess? Si ungesubiri wanaomjua wamlete hadharani? Usikubali kukosa ustahimilivu kiasi hiki!

Kuna Post moja ilishawahi kuwataja METL kuhusika na michezo hii.....angalia (https://www.jamiiforums.com/jamii-i...candal-tulikotoka-tulipo-tunakoelekea-63.html)

".........The same Hosea is sitting on another big scandal involving the same company. Recently, Mohammed Enterprises imported hundreds of tones of sugar which was declared that it was meant for the Democratic Republic of Congo (DRC). But TRA discovered later that the huge consignment of sugar was for the Tanzanian local market. TRA decided to impound the sugar, and reports have it that the matter "was recently settled" by some government officials, PCCB team and TRA officials after the importer, Mohammed Enterprises Ltd agreed to give away Tsh 500 million. The matter was reported to almost all media houses, but the story is not coming out because editors and reporters were "paid" millions so that they can contain the scandal. Recent news have it that already the matter had been solved "amicably" whereby Hosea and some TRA officials have been paid millions to cover the would be Tanzania 's biggest scandal for 2007!
Memories are still fresh in most Tanzanians especially the media fraternity when Hosea, engineered the arrest and prosecution of the editor of Family Mirror, one Zephania Musendo on arranged and calculated plan aimed at silencing him from publishing stories on Hosea's unethical behaviour......."
 
Back
Top Bottom