deo_gratias
Member
- Jul 31, 2016
- 13
- 1
I am curious! hivi tunaponunua bundle kwenye mitandao yetu ya kawaida (tigo, voda n.k), kwa namna flani tunapewa ka portion kadogo ka ku access internet. Kitu ninachojiuliza ni kwamba, wao tigo wanapata wapi? normal answer itakua TTCL ambao wanamiliki mkongo. Lakini kuliweka vizuri swali Ni nani anayetengeneza internet bundle in the first place?