Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Mkuu angalia kigezo namba 2.
Halafu tuambie huyo kwenye namba 5.
Ulizingatia vigezo gani.
Ushauri member wengi wa JF wapo based ki majukwaa mfano mimi jukwaa langu humu ni moja tu lakini mengine huwa napita kusoma kisha nalala mbele.
Thread yako inge noga kama ungezingatia hilo.
Aisee yaani kukuona umepost tu nimefarijika. Kweli tunaendeshwa na siasa
 
nimempigiaa pasco kwa ushujaa wake wakumtwanga mkuu sw3ali lenye hadhi ya kimataifaa alafu mi naonaa kwa mwaka huu aliyefanya vizur ni pasco peke yake kumfananisha na watu wa ajabu ni dharau pasco alifanya vitu vinavyoonekana yaan live sasa mnatuleteaa watu wa ajabu ajabu wakati mshanajr anatufundishaa kila siku hapa na hujamuweka
Mshana jr anakufundishaga nn? Uchawi au?
 
Mshana Jr hafai kwanza amechangia sana kushusha thamani ya jukwaa LA picha kule alikuwa anapost ujinga ujinga Mara ya kwanza jukwaa LA picha lilikuwa na mambo adimu sana kila heading unapoifungua unakutana na picha Kali za kusisimua alipoanza mshana Jr kupost ujinga nikalishusha thamani maana anaweza kuipa heading nzuri sana picha ukiifungua unakuta landa kapost penseli au pipi tokea hapo nikaachana na jukwaa LA picha kisa ni mshana

Naona kwasasa kageukia ulozi na uchawi juzijuzi alipoona hana kiki akajiteka mwenyewe akajigodiblessmalisa poor mshana
 
Pasko namkubali pia mzizi mkavu faizafoxy udini ndio dosari yake ila faiza yuko vizuri siku hizi kapunguza udini anasahihisha lugha penye l na r lozi rozi lehema rehema ndio kazi ya faizafoxy kwasasa
 
Pasko namkubali pia mzizi mkavu faizafoxy udini ndio dosari yake ila faiza yuko vizuri siku hizi kapunguza udini anasahihisha lugha penye l na r lozi rozi lehema rehema ndio kazi ya faizafoxy kwasasa
 
Kuna vigezo vimewekwa hapo ila nashangaa still kuna mtu kama
1. Lizaboni-huyu jamaa makala zake nyingi ni kuhusu siasa sawa ila anakosa kigezo kwakuwa ana kasumba ya kuwa upande mmoja wa chama cha mapinduzi hivo kwa upande wangu naona hakustahili labda kama hicho kigezo kisingekuwepo

2. FaizaFoxy huyu kweli amejitahidi huu mwaka kwenye kuandika na kuchangia vitu vingi humu sikatai ila kama kusingekuwa na kigezo cha udini basi alistahil kuwepo kwenye hiyo list, tatizo lake huyu mama ni mdini kupita kiasi na pia ana roho mbaya sana kwa Christian utazani kazaliwa ukoo mmoja na mtume

Huwa nashindwa kuelewa hawa watu makini kama FaizaFoxy huwa wanashindwa vipi kuelewa kuwa dini uliyonayo sasa ni outcome tu ya ukoo wako kupatikana maeneo ambayo waarabu walifika kwa wingi wakati wa biashara zao na kufanya watu wa eneo husika kuadapt imani yao, ni sawa na kule kaskazini walivyojazana Christian kwakuwa tu ilikuwa ndio ngome ya roman wakati ule

Naona ni roho mbaya tu ndo aliyonayo FaizaFoxy maana sitaki kuamini kwa mtu ambaye yuko na knowledge ya mambo mengi alafu akashindwa kudeal na issue kama ya imani, ndo kusema kwamba ye hajui kwann leo ni Muslim na sio Christian

Pia sijui vimetumika vigezo gani katika kuchagua hao watu maana kumuacha mtu kama The bold teyari kunaonesha kuna mapungufu katika kupatikana washindani wetu, kura yangu iende kwa mshana jr
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom