ni nani ambaye amenza maandalizi ya kugombea uraisi katika ccm?

KILITIME

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
265
18
Jamani wana Jf hebu naomba mnifahaamishe kwa kuzingatia makundi na mivutano ya hapahapa ndani ya chama tawala CCM naamini hivi sasa kuna kambi ambazo zimeshaanza mikakati ya chinichini kuelekea uchaguzi ujao!
 
Jamani wana Jf hebu naomba mnifahaamishe kwa kuzingatia makundi na mivutano ya hapahapa ndani ya chama tawala CCM naamini hivi sasa kuna kambi ambazo zimeshaanza mikakati ya chinichini kuelekea uchaguzi ujao!

Unataka ufamishwe nini?
 
jamani wana jf hebu naomba mnifahaamishe kwa kuzingatia makundi na mivutano ya hapahapa ndani ya chama tawala ccm naamini hivi sasa kuna kambi ambazo zimeshaanza mikakati ya chinichini kuelekea uchaguzi ujao!

nilishasema hapahapa jamvini.mgombea wa ccm 2015 ni dr asha rose migiro.
 
nyalandu au makongoro mahanga(MAFISADI TEH,TEH)...sema ccm wangekuwa na akili wangempa MADARAKA NYERERE INGEKUWA BONGE LA SUPRISE MAANA JAMAA NI VERY SIMPLE UKEREWE ANALIMA.
 
Juu natania,serious ni nchimbi maana na mbio hizo amezianza kwakupanga safu za junuiya za ccm kaanzia na vijana
 
Jamani, mgombea wa CCM 2015 ni Joseph Sinde Warioba. Huyo ndie wamemuandaa siku nyingi sana. Subirini muone!
 
Ila nahisi atakuwa mgombea bora na siku zote wao wanasema slogan ya "mgombea bora hutoka sisiem" ila wenazangu wa chadema nadhani 2015 mtamsimamisha kama si mr two basi joti! :clap2: Natania tu jamani msije kuniua bure kwa matusi lolz
 
Back
Top Bottom