Ni nani alimuua Sophie..!?

yule ndio mwandishi wa habari alio hojiwa na akasema alitoka kukata mti christimas na alisha thibitisha hilo! yani hapo ni utata mtupu mi nina msaspect huyo ex husband wake.
Mkuu, kama nimesoma vizuri, hilo jibu alijibu kuhusiana na michubuko mkononi, siyo kuonekana kwake mtoni.
 
Kuna uvumi ulivumishwa mara baada ya mauaji hayo kwamba, Bailey alishiriki au alifanya mauaji hayo ili aweze kunufaika kifedha kwa kuuza habari za kifo hicho kwa kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa na kujipatia fedha. Na hiyo ilitokana na umaarufu aliokuwa nao Sophie....................Hata hivyo uvumi huo haukutiliwa maanani........!
Najaribu kujiuliza ni kwa kiasi gani magazeti ya udaku hapa nchini yalinufaika kwa kifo cha kanumba...............!
Huu uvumi The Garda walitakiwa wautilie maanani................Huyu Bwana alinufaika sana na mauaji ya huyu mwanamke..............
 
Bwana mtambuzi inabidi uendelee na hii story maana inaleta shauku sana! very interesting story.
 
karibu miaka saba muuaji hajapatikana?huyo mzee mwandishi ndiye muuaji anajaribu kuikwepa sheria,damu ya mtu aipotei.
 
Unajua kama umefuatilia visa vingi vya mauaji!

Mara nyingi inakuwa kama game kati ya muuaji (hasa wale wauaji wataalamu) na mpelelezi husika.
Na mara nyingi huwa kunajengeka aina flani ya mahusiano kati ya watu hawa, na kwenye baadhi ya mauaji, muuaji anakuwa anawasiliana na upande wa pili aidha mpelelezi au maadui zake waliobakia... Wakati mwingine huwa inafurahisha japo haya ni maisha ya watu...
Sasa kama hii ni game na mara nyingi sana polisi huwa wanashinda ila kwenye hichi kisa cha Sophie naona sio tu polisi wamechemka bali ni taifa zima la Ireland limeangukia pua.
Kama hamna hujuma kubwa hapo (kwamba tuseme ni mchezo wa wakubwa) basi huyo muuaji ni balaa sana na alikuwa na lengo maalumu ndio maana ametumia staili amabyo hata wapelelezi wameshindwa kuoanisha na kumbukumbu zao na hata zile za Ufaransa...

Vyovyote vile kisa kitakavyokuwa ila huyo muuaji ni ameshinda hiyo game na kama ameshinda basi hiyo nchi sio salama sana.
 
Heshima yako mkuu......... Nakushukuru sana kwa mtazamo wako.
Ijumaa hii nakuja na mkasa ambao umejaa utata mwingi, na ningeshukuru kama ungeweka mtazamo wako..............stay tune.
 
Usijali mkuu wangu, tuombe uzima tu.
Naamini nitashiriki nawe, nadhani hcho kisa kitanivuta maana mi napenda visa vigumu na vinavyochanganya.
Tunaenda sawa!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom