ni mwiko pesa za msaada au mkopo kutoka benki ya dunia kujengea kiwanda?

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
ndugu zangu nashangazwa sana na huu utaratibu wa kutumia pesa za misaada kutoka kwa wafadhili wetu ( wazungu) au pesa za mkopo kutoka kwa hao hao mabwana wakubwa, kila pesa inatumika kwa kujenga barabara na kidogo sana labda kwa shuguli nyingine lakini huwezi sikia pesa iyo imetumika ktk kujenga kiwanda au kufufua manufacturing industry au kilimo?


manufacturing and agriculture sector andio chachu ya maendeleo kwa nchi yoyote ile duniani, hata industrial revolution imeanzia kwenye sekta hizi, kuendelea kwa china, marekani na sasa nchi kama brazil na india kumeanzia kwenye sekta hii iweje huku kwetu inaonekana kama ni kitu si cha lazima sana? au tunalazimishwa tusitumie izo pesa ktk sekta hizi mbili tajwa hapo juu?
 
Wazungu hawataki fedha za kodi zao zitumike kwa ajili ya miundo mbinu muhimu kwa maendeleo katika nchi za ulimwengu wa tatu ili msijitegemee! Ndiyo maana awamu ya tatu ya utawala, ilijikita kwenye makusanyo ya kodi zetu ili kujenga barabara za lami kwa mikoa iliyobahatika.
 
Back
Top Bottom