Elections 2010 Ni mwendo wa matumbo ya kuharisha: Bado "Siri Nzito" ya Dr. Slaa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Mwaka huu wataumwa matumbo ya kuharisha mpaka basi.

Serikali haina hata wiki ilishaanza kusafisha mafisadi; na kuumbuliwa within the same week. PCCB wanaipaka mavi serikali ya JK just on the first week of it's existance.

Aibu kuu. JK kazi ya Urais haiwezi, kwasababu hawezi kuunda Serikali makini.

Na kwa taarifa yao tu........................

Dr. Slaa atatoka na "jiwe la kisogo" soon.

Itafika mahali vyombo vya ulinzi na usalama na mabunduki yao watuache tuandamane ama watuue tu. Nchi hii hakuna haki.

Stay tuned.
 
Wewe undamane na nani? Ufe peke yako! Slaa hajasema lolote na amepanga kukaa kimya milele kwani wakati wa kupinga ndoa ya JK na Tz ulishapita.
 
Malizia habari yako mkuu, naona umeniacha hewani ingawa hasira zangu kwa kikwete hazijaisha. Adhabu niliyompa ya kumnyima kura bado haitoshi,
 
Wewe undamane na nani? Ufe peke yako! Slaa hajasema lolote na amepanga kukaa kimya milele kwani wakati wa kupinga ndoa ya JK na Tz ulishapita.

Kunguru muoga......................

Enzi za kukaa kimya zilishazikwa mjomba
 
Natumaini slaa ( Phd ) bado anajiandaa, hope to hear soon! Mapambano yanaendelea
 
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guarding election boxes, risking our own lives by comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused his supporters. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.
 
Kama wewe ni Mwana Chadema, naomba utulize monkari.

Vinginevyo utakuwa na lako jambo...
 
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guarding election boxes, risking our own lives by comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused his supporters. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.

Dr. Slaa hajazoe kuropoka bila evidence, stay tuned atakuja na kitu kinauma kwa CCM
 
Back
Top Bottom