Ni mwanao je?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Naam ni mwanao
Mwanao wa kumzaa
Unampenda sana tena sana tuuuuuuu
Unatamani awe na maisha bora
Akuletee heshima
Umemsomesha kwenye shule nzuri na zenye heshima kitaaluma
Hapa kati hapa unagundua
Huyu mtoto huyu ni malaya kupindukia
Kila aina ya uhuni anao
Kubadilisha wanaume kila uchao, pombe kwa sana, sigara na mibangi ni kawaida kwake,
Ukaamua kumpeleka mbali ili asikutie aibu
Sasa kamaliza form 6 anakuja nyumbani
Saidia as wewe ndo mzazi wake huyo binti unashauri nini hapa!
Rafiki yangu yuko kwenye wakti mgumu msaidieni wajameni
 
huyo msichana kamaliza form six kwamba anaendelea na masomo au ana div zero? kama huyo rafiki yako ana weza au ana uwezo ni kumpeleka chuo hata cha ualimu chochote akishapat ajira basi atajijua mwenyewe ...na ndio atajua kuwa mchuma janga hula mwenyewe
 
Naam ni mwanao
Mwanao wa kumzaa
Unampenda sana tena sana tuuuuuuu
Unatamani awe na maisha bora
Akuletee heshima
Umemsomesha kwenye shule nzuri na zenye heshima kitaaluma
Hapa kati hapa unagundua
Huyu mtoto huyu ni malaya kupindukia
Kila aina ya uhuni anao
Kubadilisha wanaume kila uchao, pombe kwa sana, sigara na mibangi ni kawaida kwake,
Ukaamua kumpeleka mbali ili asikutie aibu
Sasa kamaliza form 6 anakuja nyumbani
Saidia as wewe ndo mzazi wake huyo binti unashauri nini hapa!
Rafiki yangu yuko kwenye wakti mgumu msaidieni wajameni
Mimi ningeenda kwanza kumpima UKIMWI ili nijue nini cha kufanya baada ya hapo
 
Mmnh hongera wa kwako kajitahidi hadi A-level, niece wangu mimi O-level ilikuwa mbinde sana.

Vumilia afike chuo; otherwise mfungulue salon aanze biashara na maisha yake kama ni above 18.

Wa kwetu ana kibiashara, kaokota mchumba na ana mtoto sasa!
 
Back
Top Bottom