Ni Mwanamke gani mwengine anaeweza kumfikia huyu ?

Nadhani baada ya msiba alitakiwa apelekwe Mirembe akachekiwe afya yake ya akili..

Huenda aliamua hayo baada ya kuchanganyikiwa..
 
Huu sio msimamo ni Ujinga wa hali ya juu.

Hivi kweli mnafanya sex na maiti ya mwanao
Imelala chumba cha pili. Hii haiingii akilini ...

Hovyo sana.
 
Huu sio msimamo ni Ujinga wa hali ya juu.

Hivi kweli mnafanya sex na maiti ya mwanao
Imelala chumba cha pili. Hii haiingii akilini ...

Hovyo sana.

Kwan hilo tendo ni haramu na kila nafsi itaonja mauti.hapo kaonyesha uadilifu ktk ndoa
 
Sikubaliani na kitendo Cha huyu mmama, unyumba ni sehemu ya starehe, furaha I mean, sasa wakati wa majonzi, maombolezo yeye anafurahi, sikubaliani kabisaaaaaaa.
 
Huu sio msimamo ni Ujinga wa hali ya juu.

Hivi kweli mnafanya sex na maiti ya mwanao
Imelala chumba cha pili. Hii haiingii akilini ...

Hovyo sana.
Alafu huyu baba mji anaingia nyumbani huku dushelele ishasimama, kabla ya kuuliza hali za hapo nyumbani! yeye anahitaji mechi? huu sio utamaduni ya kiafrika, ovyo kweli kweli!

 
Ndugu zangu wanabodi,
katika mazingira yasiokua yamezoeleka sana, mama mmoja mwenye kumiliki mtoto mmoja na mume.
Siku hiyo ilikua mwanae wa mwaka mmoja alikua anaumwa, mida ya kama saa 3 hivi za usiku alimpa mwanae dawa na akamlaza.
Ilipofika saa 5 usiku akatoka kitandani kwake na kwenda pembeni kilipo kitanda cha mtoto kumuangalia kama body temperature imeshuka.
Mungu aachwe aitwe Mungu , kwani alikua ameshachukua amana yake ! Amana ya uhai wa mtoto.
Mtoto amefariki !
Mama alimfunika marehemu vizuri , hakukubaika wala kutetereka japokua alikua na machungu makubwa moyoni. Na dakika 5 badae mumewe akawa anabisha mlango.
Alimfungulia mumewe huku akimuona Mr akiwa na dalili zote za kwamba usiku huo anahitaji game.
Mwanamke yule kwa kua alikua ameshiba na kupevuka kiimani akajiongeza kua akithubutu tu kumueleza mumewe kifo cha mtoto, basi taharuki litakalozuka hapatatosha na hapatakua na game wala nini .
Kwani mwanamke yule alikwishajilisha neno la kimsimamo kwamba Kifo ni haki toka kwa Mungu , na kumpa unyumba mumewe ni haki pia iliyotolewa na Mungu .
Hivyo alimudu kutokumpa mumewe habari ya msiba wa mtoto, na akampa huduma ya unyumba mumewe.
Baada ya kumpa mumewe haki ya nyumba, akampa wasaa mumewe kupumzika kama saa 1 hivi, na ndiyo akampa mumewe habari ya tanzia .
Katika dunia ya wakati tulionao tunao wanawake wengine wanaoweza kua na misimamo na uthabiti wakaweza kua kama mwanamke huyu ?
Hapa Jf pia wapo ?

Dah! hii ni mpya mkuu. Sijwahi kuona wala kusikia tokea nimeanza kuliona jua.
 
Back
Top Bottom