Ni Mwanamke gani mwengine anaeweza kumfikia huyu ?

lazima huyo mtoto walimtoa kama kafara,
chezea mtoto wewe,
hata angekuwa kama nini huo ushujaa utaupata wapi,
hao ni wacha wi mkuu.
 
Ningekuwa mimi ndio baba wa huyo mtoto baada ya msiba kwisha nampa talaka mke wangu. Ujasiri wake umevuka mipaka. Anaweza fanya chochote bila wasiwasi. Binadamu lazima awe muoga japo kidogo.
 
Duh! Mm cna la kusema,labda huyo mmama hajickii vizur kulala bila chakula cha kikubwa vlevle pengine alitoroka tu milembe huku akiwa bado mgonjwa!
 
Hii ni hadith ya kusadikika iliyotukuka! Hiyo nguvu aliipata wapi? Labda kama ana moyo wa jiwe.
 
hahahahaaaa mama huyu kwakweli kapitiliza!!!!!!au alikuwa anajua siku hiyo anaweza kupata mimba inginewe so
alikuwa analipiza mtoto kwa mtoto hivi aliwezaje kuwa jasiri na alipata raha kweli?
ama alikuwa anakata kiu manake alijua during maswala ya msiba hataona ndani lol
 
Back
Top Bottom