Ni Muvi gani 10 kali ambazo unazikubali sana?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Mie ni mpenz wa muvi. Kama nawe ni mpenz wa muvi ebu nipe top10 yako ya muvi unazozikubali sana
 
1. Where the river runs black
2. Fugitive
3. Midnight express
4. Blood diamond
5. Pappilon
6. Schineider list
7. Escape from Soboibor
8. The colour is purple
9. The Troy
10. Million $ Baby
 
1. Where the river runs black
2. Fugitive
3. Midnight express
4. Blood diamond
5. Pappilon
6. Schineider list
7. Escape from Soboibor
8. The colour is purple
9. The Troy
10. Million $ Baby

mkuu nimekukubal ila kwenye list yako kuna nyngne cjaziona itabd 2azimane
 
SHOOTER,We WERE SOLDIERS,HITMAN,AMERICAN NINJA, OUT OF TIME,OCEAN'S ELEVEN,THE GODFATHER,ITALIAN JOB,BLACK HAWK DOWN. Daaah,ebana zpo nyingi
 
>The blood diamonds
>300#.
>The bodyguard.
>Who a'm I?.
>The national treasure
>Shreck.
>China heat.
>karate kid.
>Rush hours.
>The carribean pirates
 
Vp kuhusu series nazo?naweza weka katika listi?maana wengine kama mimi ni wapenzi wa series sanaaaa,kuliko muv za kawaida!
 
Vp kuhusu series nazo?naweza weka katika listi?maana wengine kama mimi ni wapenzi wa series sanaaaa,kuliko muv za kawaida!

mie kwa series ni: 24,Prison Break,the unit,lost,the event,flashfoward
 
Bila kufuta mpgangilio kuna

  1. unfaithfull 2002
  2. ugly truth 2009
  3. Y did i get married
  4. A bronx Tale -
  5. The apartment 1960 .- black&white lakini nzuri sana
  6. The Notebook
  7. 500 days of summer
  8. knocked up
  9. Basic Instint 1992
  10. Orphan 2009
  11. Fatal attraction 1987
 
1. The GodFather
2. Scarface
3. Papillon
4. 300
5. Steve Biko (I cant remember title)
6. Apocalypto
7. - 10...to come
 
1. The GodFather
2. Scarface
3. Papillon
4. 300
5. Steve Biko (I cant remember title)
6. Apocalypto
7. - 10...to come

umenifurahisha sana mkuu hko k2 kukiweka cha kwanza. M2 mzima Don Corleone
 
mie kwa series ni: 24,Prison Break,the unit,lost,the event,flashfoward

Mi 24, Nikita, Human target, PB, Lost, FlashForwad, The V, Vampire Diaries, The Event, How I met your Mother, Are we there Yet, Legend of the Seeker.., La revancha:love::love:
 
While you were sleeping
Aviator
Gandhi
The passion of Anna
Water
Ocean 13
Waiting for happiness
Avatar
 
Cardillac Record,Rush Hour,Unfaithfull,Karate kids, S py Next Door,American Ninja,na nyingine nyingi
 
halowww...wanandugu..
kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata moviez 10 bora ambazo naweka apomchini basi ussisite kuniambai kama unayo alafu unaishi dar please we niambie me nikipata nafasi ntakuja hadi mlangoni kwako kuazima...
movie 10 bora ni:

  1. HANGOVER 2
  2. HALL PASS
  3. BLACK DEATH
  4. THE ADJUSTMENT BUREAU
  5. BATTLE LOS ANGELS
  6. FAST AND FURIOUS 5
  7. LIMITLESS
  8. HOP
  9. SOURCES CODE
  10. RED RIDING HOOD.
WANDUGU JAMANI APO HAKUN HATA MOVIE MOJA YA KUKOSA KUAANGALI A WANDUGU
 
mzeewaloliondo The Godfather ni mwisho. Sijawahi na siwezi wahi kuichoka here are a few quotes:


"A man who doesn't spend time with his family can never be a real man." Don Corleone to Johnny Fontane
"Fredo, you're my older brother, and I love you. But don't ever take sides with anyone against the family again. Ever." Michael to Fredo'Never tell anybody outside the family what you're thinking again." Don Corleone to Sonny
 
Back
Top Bottom