Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

Hahahah Babu GY.........ni kweli kabisa Ndoa zilizo wazi kwetu Bado....imajini Mamsap wako ambaye wewe bado unamfeel kiama, na hujawahi au hujabahatika kufall kwa mwingine anakuja anakwambia .......Mume wangu, ni muda sasa nimekuwa na mahusiano na rafiki yako Bigirita .........?? Sijui utajisikiaje

Na kwa Teamo hebu nambie mipaka ya hizi ndoa za wazi!!.............tutaruhusiwa kukidhi mahitaji ya hao tuliowasecond?? yaani Mama G amekwambia Mume wangu nimekuwa na Mahusiano na rafikio Asprin.ila sasa tumeamua tupate mtoto...uwiiiiiiiiiiii aiseee naombeni mniagizie Viceroy hapo kwanza

Yaani kwa kifupi hapo MJ1 unamaanisha mi namtafunia Teamo?

God Forbid....... Hebu edit hapo asee.
 
Hahaha mambo mengine bora yabakie kuwa mfano tu.
 
Mi natamani nizisome post za mj1 kwa mara nyingine tena......!

Post zako zanidatisha sina la kuficha ninaomba nikwambie tu ukweli.....!
 
Huo ndio msimamo wangu.

Kama waifu anaona simkojoleshi vizuri (japo ameshazaa) na aende kwa Kasibeti akamegwe lakini nisijue...... manake nikijua kuna misiba miwili inaweza kutokea.... Arudi anipe nami nichovye nimalize hamu yangu.

Hali kazalika nami ndio kama vile, na wala hajawahi kuhisi. Na maisha yanasonga mbele. Usimwambie mtu tafazali.

Ningependa kujua uhusiano wa kukoj...nini sijui na kuzaa but its off topic Babu Mkuu

All in all nakuunga mkono Its a Big NO. Yaani MJ1 nianze kufikiria zile sarakasi nnazopigishwa mie enda pigishwa Maty au LD ah ntalazimisha 3sum kwa kweli (japo nikodolee macho tu) ...........mmbanu
 
naona wapwa zangu MNAPINGA SANA open marriages....!

hahahaha
 
Yaani kwa kifupi hapo MJ1 unamaanisha mi namtafunia Teamo?

God Forbid....... Hebu edit hapo asee.

HApana Babu uwii.......ni mfano tu ndugu yangu lol najaribu kuileta pointi nyumbani kwa Teamo. lol

Miliahidi kuwa mtiifu and that I will remain.
 
sasa kama hatutaki OPEN MARRIAGES.......!again tunasisitiza ''infidelity'' ifanyike KWA SIRI NZITO.....!SASA MBONA HATUSOMEKI SASA?i mean mimi kuna point sielewi kabisa...kwamba WHY SHOULD WE HIDE OURSELVES FROM REALITY?
 
naona wapwa zangu MNAPINGA SANA open marriages....!

hahahaha

.............Hatupingi Babu Teamo but bora zikabaki kama zilivyo..............kwa wale ambao tumebahatika hatujaonyweshwa makucha tuenjoy na kwa wale ambao wamekwishaonyeshwa na kusolve waamini tu kuwa ilikuwa ni bahati mbaya.
 
Ningependa kujua uhusiano wa kukoj...nini sijui na kuzaa but its off topic Babu Mkuu

All in all nakuunga mkono Its a Big NO. Yaani MJ1 nianze kufikiria zile sarakasi nnazopigishwa mie enda pigishwa Maty au LD ah ntalazimisha 3sum kwa kweli (japo nikodolee macho tu) ...........mmbanu

Hahaha...kuna malumbano yanahitaji sredi hapo.

Kuna mtu anadai eti mwanamke ambaye hajazaa hawezi kukojoa mkojo wa kikubwa LOLZ....

Hilo tutajadili kesho, leo turudi kwenye mada. Kuna mijamaa ilishawahi kutwangana makonde baada ya mmoja kummegea Eliza wake. Hebu tafuta picha angekuwa kammegea mkewe halafu shoka liko karibu.........
 
sasa kama hatutaki OPEN MARRIAGES.......!again tunasisitiza ''infidelity'' ifanyike KWA SIRI NZITO.....!SASA MBONA HATUSOMEKI SASA?i mean mimi kuna point sielewi kabisa...kwamba WHY SHOULD WE HIDE OURSELVES FROM REALITY?

Duh hapa pagumu mydia............ hapa ni pa gumu aisee.

Is it part of human nature au??!! mi sielewi kabisa

But the way it seems Teamio, ni kama vile zamani chanzo cha infidelity ilikuwa ni mwanaume (Msinipige mawe ni upuuzi tu ninaoufikiria katika kutafuta sababu) na mwanamke alipoanza kuwa na infiis ni pale alipoona kuwa why mwanaume anafanya ikichangiwa na all that craps za usawa wa kijinsia ambao kwa bahati mbaya unadaiwa hata kwa mambo yasiyo na maana.

So my take ni kuwa it is Man's nature kutokuwa na mwanamke mmoja (Babu Mkuu ataniunga mkono katika hili) so kwangu this is a reality....actually a bitter reality ambayo kwa bahati mbaya tunajaribu kuisupress under misingi ya dini na kadhalika. So not true kuwa tunarun away from the reality .... at least kwa upande wa wanaume. But kucontrol wanawake (kuturudisha katika nature yetu) wanaume mtusaidia
1. Muwe mnafanya kwa siri yaani tusijue kabisa
2. Kina mama kwa kuwa si nature yetu kuwa na wengi -kwa nini tusistick na waume zetu??

Ah hii ni viceroy ya pili Teamo .......nadhani am loosing it.
 
Hiyo bold imekuzawadia hii hapa:

The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

Asprin (Today)

Na kama ujuavyo senksi moja ya babu ni kama hamsini za wapwa jumlisha na hamsini za wajukuu.
 
Mi nawashauri msiingie kabisa kwenye kitu kinaitwa marriage ili muwe free kuwa na yeyote mumtakae.
 
Duh hapa pagumu mydia............ hapa ni pa gumu aisee.

Is it part of human nature au??!! mi sielewi kabisa

But the way it seems Teamio, ni kama vile zamani chanzo cha infidelity ilikuwa ni mwanaume (Msinipige mawe ni upuuzi tu ninaoufikiria katika kutafuta sababu) na mwanamke alipoanza kuwa na infiis ni pale alipoona kuwa why mwanaume anafanya ikichangiwa na all that craps za usawa wa kijinsia ambao kwa bahati mbaya unadaiwa hata kwa mambo yasiyo na maana.

So my take ni kuwa it is Man's nature kutokuwa na mwanamke mmoja (Babu Mkuu ataniunga mkono katika hili) so kwangu this is a reality....actually a bitter reality ambayo kwa bahati mbaya tunajaribu kuisupress under misingi ya dini na kadhalika. So not true kuwa tunarun away from the reality .... at least kwa upande wa wanaume. But kucontrol wanawake (kuturudisha katika nature yetu) wanaume mtusaidia
1. Muwe mnafanya kwa siri yaani tusijue kabisa
2. Kina mama kwa kuwa si nature yetu kuwa na wengi -kwa nini tusistick na waume zetu??

Ah hii ni viceroy ya pili Teamo .......nadhani am loosing it.
hahahahahaha!
umenichekesha sana aisee
The Following 2 Users Say Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Teamo (Today),Teamo (Tomorrow)
 
so far sijaona msimamo comprehensive kuhusu hii thread....
nilijifunza hapa ni KUFANYA KWA SIRI.....!kuwa wasiri sana
 
Mi nawashauri msiingie kabisa kwenye kitu kinaitwa marriage ili muwe free kuwa na yeyote mumtakae.

carmel..............I salute you marriages za siku hizi ni complicated sana aisee

But kwa wale wanaotaka kuingia (hawaasomi alama za nyakati) wacha waingie but ni jukumu letu sie tuliomo (mh!!!) tuwajuze yale ambayo wanawezakutana nayo ambayo kwa wakati huu hawadhani wala kuamini kuwa wenzi/wapenzi wao wanawezawafanyia....trhen wakishafaidi ule uhuru wa kulala na jinsia tofauti bila nguo na kutokuwa na uhuru na miili yao kama walivyo sasa ndio wataamua kwa busara whether to go on... au kukimbia na hapo hawatajuta

Otherwise hatupaswi kuwatisha na isitoshe aint that bad bana kuna utamu wake ambao even unapokuwa kwenye mlima wa moto ukikumbuka those moments -no matter how much few they are..........they put a faint smile on someone's face bana

Wajua muda huu ndo natoa lock sasa sijui ni kawaida au .....maana naona badala ya kuzimuua ndo kama inapandisha!!
 
so far sijaona msimamo comprehensive kuhusu hii thread....
nilijifunza hapa ni KUFANYA KWA SIRI.....!kuwa wasiri sana

Msimamo mbona uko wazi Teamo...........OPEN MARRIAGES - ambayo ndo hoja yako ni NO................. ungepata majibu tofauti kama ungeuliza juu ya INFIDELITY...........
 
USIRI USIRI USIRI...........!

kufanya fanyeni ILA FANYENI KWA SIRI.....!hakikisha sijui....!

bora kufanya kwa siri kuliko kuwa na open stuff!

SIRI SIRINI

habari ake SIRI
 
Back
Top Bottom