Ni muda gani TCU wataanza maonesho Ubungo Plaza?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka kuhudhuria!
 
tunaomba kujua mikutano hiyo au maonyesho hayo yanahusu nini?tupe agenda man!umetuacha hewani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom