bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
1.USIWE NA PAPARA
-tulia jitahidi kutafuta kaz taratibu bila pressure pia jitahidi kutumia marefa ambao wamo ndani au karibu na waajiri.
2.KUWA TAYARI KWA LOLOTE.
-Kubali matokeo hata kama umeshindwa interview nyingi,usijisikie vibaya kwa wenzio kupita.
3.JIANGALIE WEWE KAMA WEWE
-usijilinganishe na wenzio jiangalie ww kama ww
4.KUZA UJUZI WAKO NA PATA UZOEFU.
-unapomaliza masomo na kupata taaluma yako ni bora ukautunza kwa kujisomea na kujikumbusha kile ulichosomea
5.KUWA NA MSIMAMO
-inashauriwa kufuata kile ulichosomea endapo utabadili iwe ni kwa mwelekeo wa muda.