Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

Let's say its a weekend jumamosi flani tulivu hivi.. Siku hiyo uko njema vibaya mno umepiga magumashi yako taa ya kijani itawaka.. Mara Ukakumbuka kale kabinti unakokatoleaga udenda daily. Ukamvutia waya. Ukamuomba mwende lunch akakubali. Ukapitia petrol station fasta ukaweka full tank then ukamuibukia mtaani kwao.. Mtoto akauliza lunch wapi ukajibu usijali baby hapo southern sun 2. Straight mpaka uko. Mkapiga msosi hadi mida flani ya nane nane hivi. Mkageuza. Njiani ukamwambia una hamu ya kutoka usiku huo n ukaulizia vp kama anaweza akakupa company nn? Bibie akajibu ataangalia. Poa mtu mzima ukachekecha akili fasta ukaamua hivi.. Baby hebu tupitie hapo mlimani kwanza. Mlipofika straight mkaingia pale For You 2 ukamchagulia kivazi k1 matata sana. Then ukampitisha pale Sheer Illussion akatengeneza nywele fresh then ukamrejesha mtaani kwao kwa miadi kuwa utampitia kwenye mida ya saa 1 1 hivi. Kweli bana mida hiyo ukamuibukia tena mtoto anawaka kinoma.. Frm there kituo cha kwanza ukaamua mkacheki movie cinemax kubuy time kidogo hadi mida flani ya 3 hivi then mkapitia nyumbani lounge mkala kidogo n story mbili tatu ofkoz na chupa kadhaa hapo hadi mida flani ya 5,6 haoooo thai village kupata burudani.. Kufika hapo watu wengi wengi baby hajapapenda sana ukamsoma mkahama kiwanja haoo garden biastro sasa baby karidhika. Mkala maisha kiasi chake hadi saa10 flani mkaamua kuchomoka.. Mpaka muda huo kilaji kimekolea baby akajawa na wasiwasi kama utafika salama baada ya kumdrop kwao so akaamua ni bora ahakikishe umefika salama kwako then aondoke kwao. Kufika kwako UKAKOMAA watoto wa kiume nadhani mtanielewa vyema hapo. Swali je! Bi mdada ataweka kukuchomolea kweli??

Ni Mtazamo wadada msininune.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hii pesa inatosha mifuko mitano ya cement! mtu unamwaga janvi kenopi!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Au unawasha nokia kitochi chako ile asubuhi,afu una-m-beep demu wako,akipiga ,unampa saundi mbili tatu halafu unam-bomu vocha ya bk mbili,akishatuma vocha unajiunga xtreme,afu msg kadhaa za mapenzi ili mtoto ajae upepo..mida mida ya saa 9mchana unamcheck mchumba aje geto,unaenda kuchukua chips mishikaki 2 mbili take away na castle lite..afu mchumba akifika full uhakika...
 
watu wengine bana hamko cost effective, wenzenu tunatumia gharama ndogo as possible kupata matokeo mazuri kadri iwezekavyo. wewe ni domo zege
 
kama shida ni k you might just as well ask upfront, i.e. start from top-bottom badala ya kupoteza ela kwa staili ya 'kutegemea' kupata..for me i find this absurd and immature. kama ni mwanamke wangu it is ok kuspend naye, not otherwise,
 
Hahaha! Kweli utoto raha zomba.

Yaani kwa lunch moja ya southern sun, kivazi kimoja cha 4U2(by the way imeshafungwa hiyo), sinema moja, na mzururo wa mjini unaona hakuna mwanamke anakatiza kwako? Yaani unajiwaza ukiwa na laki 4 tu hata iweje yeyote miguu ndembendembe?
Ukikua utaelewa.
 
Last edited by a moderator:
For all the troubles, halafu uje kuthibitisha mko 10 kwenye foleni......chezeya gubegube la mjini......
 
Mwee.. tabu yote hiyo kisa kipapa.. kweli udomozege kazi..sasa na kesho yake akitaka hizo swaga utakuwa na uwezo tena?
Kuishi kwa kwa Sister kunatabu sana..
 
Mh! Hizo huduma zote zinavyonitoka mbona atanikoma. Maana nitalipizia kila kitu hapo......
 
Duh,labda kama hujui kutongoza,mademu wa siku hizi huna huja ya kwenda mbali kiasi hicho.
Labda nanihi yake iwe na AirBag.
 
Duh,labda kama hujui kutongoza,mademu wa siku hizi huna huja ya kwenda mbali kiasi hicho.
Labda nanihi yake iwe na AirBag.

Tatizo la masharo, wanataka siifa wakati hamna haja ya kujikamua hivyo.
 
dah...unanunua penzi expensive sana mkuu....

Sure! Yote hyo kumdanganya tu hyo binti,mbona wenzio wanapiga ''ngoma ya mdomo'' tu mambo yanakaa sawa? Unampa impression kwamba hayo ndo maisha unayoishi na mwishowe anakukubalia na mnaishia ktk ndoa,utaishi maisha hayo?
 
Inategemea binafsi nilivyo ntaona ni sifa kwa hyo ntakuwa nakuchora si tu ntakunyima bali hata uhusiano sitakubali,mi sipendi mashauzi be really,moyo husema kweli hata kama hauna kumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom