Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Naombeni msaada jamani kila nikitaka kuangalia hii movies London has fallen youtube inaniambia siwezi angalia hadi blue link je nifanyaje?
 
Shoot em up
Agent 47
Jack ryan (the shadow recruit)
Behind enemy line
Brick mansion
Mission imposible (1-5)
24
Live another day
The last letter
Die hard 4
Survival
Unaonekana unapenda sana movie za kijasusi.
Ongeza Na hii Salt.
 
Prison break, hachiko the dog story, lord of the ring, tsotsi, juicy, deadly voyage dah hizo ni hatari kwa upande wangu
 
Kuna picha moja ya kihindi inaitwa FIDA..wale wenzangu mnaojua kupenda inawahusu sana hii!
 
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine

Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
Air force one
Miami vice
Out of time
The specialist
The International
True lies
God Father 123
Heat
Blood Diamond
The Fugitive
Hotel Rwanda
Zero tolerance
The Kingdom
White house down
Olympus has fallen
Firewall
 
Kwangu ni OUT OF TIME ya Denzel Washington,Eva Mendes na Sanaa Lathan,nishaicheki zaidi ya mara mia na bado hamu hainiishi.
 
Hii Saving Private Ryan na Humberger Hill ni kali na ile wanaimba I don't know but I've been told Eskimos p*sy is mighty cold nazielewaga sana...lakini ktk hizo zote haijawahi kunikinai THE HARD WAY haitakaa wacheze movie tamu kama ile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom