Ni modem gani nzuri kati ya HUAWEI na ZTE?

ni ngumu kuelezea ni kama unasema computer gani nzuri dell au hp? Upo general sana

Inatakiwa uchague specific modem mfano huawei e173 na zte mf190 ipi nzuri?
 
HUAWEI ni bora zaidi !! yenyyewe inashika 3G na high speed but ZTE hazina power mara nyingi ukiwa mbali na town zinashika edge au high speed kwa mara moja moja !!
 
Back
Top Bottom