Ni mnyama gani mzembe sana katika maisha yake

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
 
Lets Nature takes its own cause!
 
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
Mnyama yeyote mwenye akili timamu alafu anayependa kitu chenye alama ya nyundo na jembe!!
 
Hivi kuna mnyama mzembe zaidi ya Malaria Sugu wa JF? Huyu yeye hakimbii shida kabisa, hukaa tu chini na kuanza manung'uniko. Hata mvua ikianza kunyesha ananung'unika badala ya kujikinga
 
Kunguni bana...msiniulize kama ni mnyama hapa..fungueni matabu yenu ya baolojia someni mambo ya tafisida ya pramati
 
Back
Top Bottom