Ni mimi tu auu??

mhh....kumbe mlikuwa mnanisanifu ehhe? hahaha! Uliona jinsi nilivyotia msisitizo...mpaka raha! Habari nyingine kwenye PM...
Hahahahahahahah niliona
Sisi tulikuwa tunakupigia Amen hahaha lol
Haya twende PM maana ulipotea gafla afterwards.. sisi ndo tulienda......
 
AD, pole sana mydear! Ukiwa kwenye hali kama hiyo, muombe sana Mungu akusaidie na kukuongoza kwa Maamuzi yoyote utakayofanya. ikiwezakana usidiliki kufanya maamuzi yoyote makubwa. Haya mambo huwa yanatokea sana, kikubwa ni kupata watu wa kuongea nao vitu tofauti kabisa.
 
Hii There

Trust me there was a time when i was feeling the same but today i am dieing to live, i live every moment and second of my life to the fullest...i do not want the day to get over so that one day reduces... trust me honey life is beautiful....just enjoy doing all the crazy things you desire, all the things u wana do, all your secret desires, craze fantasies...do them...even if people think you are mad...live your life honey...

Ma maddest craziest thing people think i like to do is get wet in rain, i do it...i do not care what people think...i know other JF Members will comment that this is craze but honey that is my take...that is what i enjoy doing and i do it to the fullest....

I do all i wana do, i have come to make myself realise that we have only one life to live and its very short... now i feel one life is not enough for me!!! heheheh

If u want any help, i can change your perspective towards life, PM me i will call u....
 
kutakuwa na sababu ya kukufanya ufikirie hivyo

My dear sababu ilikuwepo
na hii ilikuwa juzi lakini
baada ya kupata msaada
Na fukira nyingi tofauti
Nawaza tofauti sana na
Hayo maneno yangu ya awali
Asante ni sana...
 
U should allow things to reach to that extent, i think it is more Of pyschological problem, u need counselling
 
Hii There

Trust me there was a time when i was feeling the same but today i am dieing to live, i live every moment and second of my life to the fullest...i do not want the day to get over so that one day reduces... trust me honey life is beautiful....just enjoy doing all the crazy things you desire, all the things u wana do, all your secret desires, craze fantasies...do them...even if people think you are mad...live your life honey...

Ma maddest craziest thing people think i like to do is get wet in rain, i do it...i do not care what people think...i know other JF Members will comment that this is craze but honey that is my take...that is what i enjoy doing and i do it to the fullest....

I do all i wana do, i have come to make myself realise that we have only one life to live and its very short... now i feel one life is not enough for me!!! heheheh

If u want any help, i can change your perspective towards life, PM me i will call u....
Pihu, I like your post
 
C ujiuwe tuuuu, ya nini kusononeka?
TAITUZA honestly hicho ulichofanya unajua ni criminal offence kumshawishi mtu ajimalize? chonde chonde with due respect nakuomba u delete hiyo entry yako please.
 
wewe mtoto wewe una upweke ndio maana unawaza hivyo, umri kama wako inabidi uwe ushaolewa usibakie kuwaiga wazungu tu !!! wazungu akili zao wanazijuwa wenyewe
Ivugaaaaaaaaaaaaaaaaaa du,we kiboko,pamoja na stress maskini AD naamini kwa comment yako atacheka kidogo,au nimekosea AD? cheka kidogo bana upunguze msongo wa mawazo,si unajua matatizo uliyonayo wenzio wana makubwa zaidi ya hayo na wanasonga mbele kwa mwendo wa 'kanyaga twende'? promise basi AD kwamba you will pull out of it,pleeeeeeeeeease!
 
Maisha ni matamu hasa ukijua kujipa raha, sasa ukijifungia ndani siku nzima una surf tu utapata raha vipi? toka AD. nenda out na rafiki zako fanya kitu ukipendacho na usijutiie lolote linalokupa raha ya maisha
 
Back
Top Bottom