Ni mimi tu auu??

Wapendwa wangu wote
samahani sana na ninashukuru kwa
michango yenu wote na washukuru wote walioniambia
Chocho nimtangulize Mungu.. kwa ninachopitia sintoweza kabis
kuvire kebisha kwani kazi ya Mungu haina makosa... asanteni
wapendwa Mungu awaongezeee... Kweli kuna kupanda na kushuka
katika maisha.... mbarikiwe..

Dada pole sana Muombe mungu akusaidie
 
Pole sana AD,punguza stress maana kila mtu ana yake.Maisha ni ubatili tu mwisho wa siku.
 
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..

mmh! Umenikumbusha dogo mmoja huwa anatamani angezaliwa mbwa ulaya kuliko binadam tz maana mbwa wa kule wanatunzwa vizuri. Lol!
Maisha usiyachukulie siriaz sana. Utapata vidonda vya tumbo bure.
 
mmh! Umenikumbusha dogo mmoja huwa anatamani angezaliwa mbwa ulaya kuliko binadam tz maana mbwa wa kule wanatunzwa vizuri. Lol!<br />
Maisha usiyachukulie siriaz sana. Utapata vidonda vya tumbo bure.
<br />huyo dogo atakuwa kapinda. Ulaya life ni ngumu vile vile tena huku stress ni kitu cha kawaida watu wanaongea peke yao barabarani. Cha muhimu ni ajiweke busy ,atafute watu wa kuongea nao .afanye mazoezi ajaribu kujichanganya na watu stress itapungua na aweke ibada mbele.
<br />
 
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
wewe mtoto wewe una upweke ndio maana unawaza hivyo, umri kama wako inabidi uwe ushaolewa usibakie kuwaiga wazungu tu !!! wazungu akili zao wanazijuwa wenyewe
 
mmh! Umenikumbusha dogo mmoja huwa anatamani angezaliwa mbwa ulaya kuliko binadam tz maana mbwa wa kule wanatunzwa vizuri. Lol!
Maisha usiyachukulie siriaz sana. Utapata vidonda vya tumbo bure.
Dahhhhhh hii mpya..
sante dear
 
wewe mtoto wewe una upweke ndio maana unawaza hivyo, umri kama wako inabidi uwe ushaolewa usibakie kuwaiga wazungu tu !!! wazungu akili zao wanazijuwa wenyewe
Si dhani ndoa ndo jibu ya kila tatizo
duniani.. na olewa ya usanii sitaki niache niendelee ku search my prince charming na kusubiri nikimpata yote 5 nikimkosa yote5 ..
 
kitu gani kimetokea tena? unawaza sana! Ukiona ivyo panda ghorofani alafu angalia mji ulivyo and appreciate the beauty! Toka nje katembee kwenye botanical gardens! Pia unaweza kwenda mjini na kukaa kwenye zile cafe za nje uangalie watu wakipita na shughuli. It gives u a different perspective of life...
tc
 
Life fux everybody somehow sometimes...I don't believe in god,but I learnt to be satisfied with little things in life....like music,movies,reading and blogging and I was lucky to have found love...I mean real love!!
Keep ya Head up mami!
 
Hey thanx..
Na hongera lakini ulikuwa unatetemeka
Sana sijui ndo uoga wa watu wengi.. lakini tunakushukuru sana kwa kazi yote ngumu..
 
Life fux everybody somehow sometimes...I don't believe in god,but I learnt to be satisfied with little things in life....like music,movies,reading and blogging and I was lucky to have found love...I mean real love!!
Keep ya Head up mami!

Thank you so much and
Congrats for finding realy
Love....
 
ndio mara ya kwanza. na unajua hutaki kusema kitu kilete picha mbaya!

Mi na yule bibi mzuri
aliekaa pembeni yangu tulikuwa
Tunakuchora sana mmmhhh .
njia nzima nyumbani dahhhhhh
lakini ulifanya vizuri sana.. si dhani kama
Kuna mtu pale angeongea kAma wewe.. pale iliponyanyua kitabu daahh si tulkchekeka ila
kisiri siri sana.. nway asante sana lakini.. mama mkwe ulimwona???
 
Si dhani ndoa ndo jibu ya kila tatizo
duniani.. na olewa ya usanii sitaki niache niendelee ku search my prince charming na kusubiri nikimpata yote 5 nikimkosa yote5 ..
huwezi kupata yote 5 na kukosa yote 5
lakini kuna umri ukifika katika jamii yetu inabidi uwe ushawekwa ndani but kwa nchi za wenzetu hii haiwasumbui kabisa
 
Samahani Ivunga lakini hiyo kitu ndoa
Mmmhhh tuiache tu... si lazima kila nwanamke awekwe ndani hata hapa kwetu TZ....
 
Mi na yule bibi mzuri
aliekaa pembeni yangu tulikuwa
Tunakuchora sana mmmhhh .
njia nzima nyumbani dahhhhhh
lakini ulifanya vizuri sana.. si dhani kama
Kuna mtu pale angeongea kAma wewe.. pale iliponyanyua kitabu daahh si tulkchekeka ila
kisiri siri sana.. nway asante sana lakini.. mama mkwe ulimwona???

mhh....kumbe mlikuwa mnanisanifu ehhe? hahaha! Uliona jinsi nilivyotia msisitizo...mpaka raha! Habari nyingine kwenye PM...
 
Back
Top Bottom