ni mimi mwenye matatizo au mpenzi wangu!!!!!!!!!

Nakushauri urudi darasani ukasome. Muda ukifika utafanya mapenzi mpaka ukinai.

Nadhani sijaenda kinyume na angalizo lako kwenye red hapo!

Mitoto ya siku hizi bwana........ Khaaaa!!

Hahahaha yaani huo ndio ushauri wako kwa leo? Khaaa!
 
Nakushauri urudi darasani ukasome. Muda ukifika utafanya mapenzi mpaka ukinai.

Nadhani sijaenda kinyume na angalizo lako kwenye red hapo!

Mitoto ya siku hizi bwana........ Khaaaa!!

Mkuu Asprin, watafungua shule muda mfupi ujao,ngoja kwanza wahesabiwe..!
 
thnx mtotosix kwa ushauri wako lakin tatizo linapokuja ni kuwa hapendi nimwambie ukweli na hata nikimwambia kitu chochote kinachousu yeye ambacho hakinifurahishi ananiambia ninadharau xana na mimi naogopa kumkwanza tht y nw huw cimwambii umenilizisha au la cz naogopa kumkwaza cz nampenda xanaaaaaa co huwa namwacha alizike yeye zen ciku ipite!!!!!

Aridhike yeye tu! Wewe hauko serious. Kwanza futa kauli hiyo ya kumpenda. Huwezi kusema unampenda mtu wakati ,u'dnt care about urself, feelings na hata afya pia!coz kisaikolojia u'l affected too. Wewe, yeye u seem like sex 2u,is an act! Not an art of perfomance,ambayo inatoka ndani ya mioyo yenu,inayogusa mitima ya hisia zenu! Talk 2him,asap!! Usikubali kuwa mtumwa mdogo wangu.
 
mynisha naomba nikuonjeshe uone mambo yanavyokuwaga kisha ulinganishe na bwana ako, usimkwaze uwe unakuja nakupa raha kisha unarudi kwa mtu wako usimkwaze kabisa, afu iwe siri kati yetu mi na wewe tu
 
Last edited by a moderator:
mynisha naomba nikuonjeshe uone mambo yanavyokuwaga kisha ulinganishe na bwana ako, usimkwaze uwe unakuja nakupa raha kisha unarudi kwa mtu wako usimkwaze kabisa, afu iwe siri kati yetu mi na wewe tu

loool! ! !
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kupitishiwa mzigo bila kuandaliwa mi mwenzio huwa mkali kama kuku mwenye vifaranga kama honey hajaniandaa.YAANI HAKIPITI KITU.
 
Back
Top Bottom