ni mifugo gani inayokufurahisha kwenu?

we mkongo, baba msudan, mama mchna nin? Kama ndvyo ktambulisho hupewi.
 
Nafuga bundi, waifu akileta za kuleta nakuwa nalala na bundi
(namaanisha nalala chumba cha bundi, msitafsiri vibaya, siwezi kumnaniliu bundi hata iweje, kwetu nimelelewa kimaadili sana)
 
mie nina mbuzi wangu(petty) basi huwa ananiburudisha.

Jioni nikiwahi namchukua kwa evening walk, tunaenda kaa kwenye river bank ya mto simiyu.

She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!

Lol, Kongosho, we ni mkaree, eti mbuzi msichana lol. Ngoja nkauangalie mfugo wangu, labda leo waweza.kunipa burdani nami nfurahike
 
Last edited by a moderator:
Nafuga bundi, waifu akileta za kuleta nakuwa nalala na bundi
(namaanisha nalala chumba cha bundi, msitafsiri vibaya, siwezi kumnaniliu bundi hata iweje, kwetu nimelelewa kimaadili sana)

naomba uniazime bundi wako cku 1 nkamtishie mtu flan make ananikera. nahc nkimtishia kwa bundi atakoma kunifatafata. nkila dagaa et nimeishiwa,nkila nyama et namringishia. nshachoka me na unafk wake
 
Back
Top Bottom