ni mifugo gani inayokufurahisha kwenu?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
me kwetu kuna mbwa 1 ni mweusi tii ana manyoya mengi anaitwa Cenna. basi nkienda late nyumbani nikakuta ashafunguliwa, ile naingia atakimbia mbele then atarudi nyuma yangu ataning'atang'ata miguuni kisa tu nimshike kichwani ndo atulie. yan full burudan. kingne hawez kujisaidia ndan ya banda lake hata cku 1.atalia sana mpk mtafungua banda then atakwenda mahali anapokwenda kila mara atajisaidia ksha atarud bandani. ni msafi!
 
Dia sie kwetu kuna mipanya, nikupe story yao?
 
paka wangu mweupe namuita vasco hua ananipenda sana na anapenda kukaa na mm kila sehemu na hua nikiwa nacheck movie anapenda kukaa shingoni mwangu huku kanizungushia mkia shingoni
ila nasaka sana wale mbwa wa police nawapenda sana nataka niwe naye mmoja there my happiness will be totally completely
 
wooh,ce zaman miaka ya 90 tulikuwa na paka anaitwa kafriend yan ukiita kafriend lazima aje. hakuwa mwizi wala mdokozi. ukitenga msosi mezan hawezi kuiba mpk umpe cha kwake
 
mie nina mbuzi wangu(petty) basi huwa ananiburudisha.

Jioni nikiwahi namchukua kwa evening walk, tunaenda kaa kwenye river bank ya mto simiyu.

She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!
 
hahahaha we noma, emh mwaga stry humu.. huyu mtot wa rck cty anatulingshia mbwa wke.!!

Mipanya yetu mchana haitokezi, ila ukizima taa tu, hao, kukuru kakara.
Hayali tambara la deki wala nguo chakavu, juzi yamekula tenge jipya la maza mpaka roho imeuma. Yote tisa, kumi kuwe na wageni, itapita mchana kweupe, kwenye ule waya wa umeme unaoning'inia. Ukiweka sumu msosi hawali, mtego hawanasi, ukimleta paka wanamnyenga anakuwa rafiki yao.
We acha tu!
 
mie nina mbuzi wangu(petty) basi huwa ananiburudisha.

Jioni nikiwahi namchukua kwa evening walk, tunaenda kaa kwenye river bank ya mto simiyu.

She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!

Ngoja beberu aanze kumsarandia, atanukaje?
 
mie nina mbuzi wangu(petty) basi huwa ananiburudisha.

Jioni nikiwahi namchukua kwa evening walk, tunaenda kaa kwenye river bank ya mto simiyu.

She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!

Kongosho u make me laugh et ni msichana je bdo bikra nimletee lile beberu la kwa jiran?
 
Sobhuza my dia,nyumba ya jiran angu kuna mapanya wanaokula had ndo za plastic ya its so funny. afu wagen wakiwepo ndo vinapitapita had wamevitungia jina "TAX BUBU"
 
Kwani sebuleni kwenu hakuna hao viumbe honey...
 
hahahahahah nikusimulie ipi?

kuna mipanya inatoka asubuhi inarudi jioni kulala......halafu wana akili usipime, mitego hawanasi, ukiwawekea nyama hawali mara moja moja ukiweka nyanya ndo unaweza kuwabahatisha.............

mbwa wangu smoky, ana akili sana, ila anapenda kucheza ukiniona tu atanirukia anataka umshike manyoya nk ndo anaenjoy...
 
She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!

hahahahaha kongosho ukapimwe akili loh nimecheka mpaka nimenaniliuuuuuu
 
hahahahahah nikusimulie ipi?

kuna mipanya inatoka asubuhi inarudi jioni kulala......halafu wana akili usipime, mitego hawanasi, ukiwawekea nyama hawali mara moja moja ukiweka nyanya ndo unaweza kuwabahatisha.............

mbwa wangu smoky, ana akili sana, ila anapenda kucheza ukiniona tu atanirukia anataka umshike manyoya nk ndo anaenjoy...

Mi sipendi mbwa, sijui kwanini.
 
Kwetu kuna nguruwe uwa ninatoka nae mida ya jioni nikipita nae karibu na bar watu wanamshangaa yeye anaona aibu acjue wanatamani nyama yake.ijumaa uwa simtoi ndani
 
Back
Top Bottom