Ni miaka 17 tuuu!

we lizzy, usidanganye watoto wanaopita hapa jamvini! mbona kuna wanaotumiwa kwa kuwa tu wameshindwa kusema no mbele ya watu amabao hata hawawajui majina. hujui mwanaume anaweza kuwa na idadi yoyote ya wanawake kadiri ya mahitaji yake? mwanamke uwezo huo atautoa wapi?

anyway, mkulu alisema ili ule nawe lazima nawe uliwe, so, na wewe umesimamia kanuni hii? mambo ya wakwere waachie wenyewe bwana we hutayaweza!

Habari ndo hiyo....kumtumia mwenzio sio vizuri ila kutumiana ruksa!!!
 
Sasa asaidiwe nini? kisha mchezea mtoto wa watu amuoe. Na kama hasomi hiyo age anaweza kumuoa kisheria.
 
Habari ndo hiyo....kumtumia mwenzio sio vizuri ila kutumiana ruksa!!!

Haya bwana, naona wewe uko upande wa wakwere! nitajitahidi na mimi kuwaruhusu wawe wananitumia japo kidogo kwani in most cases mimi huwa nawatumia na asiyetaka kutumiwa namwadhibu na kummwaga papo hapo!

siku moja niliorodhesha majina ya ma-she niliokwisha watumia kwenye karatasi ila wengine sikuweza kukumbuka majina yao, nikaweka tu desh desh, sasa niliyekuwa namtumia siku hiyo akaiona hiyo karatasi kabatini chumbani kwangu ikiwa na jina lake mwishoni, akaniuliza ni akina nani wale nikamjibu kuwa ni ma-she nilokwishatumia, akajifanya kukasirika akitaka nimbembeleze! badala yake aliishia kuambulia makofi na nikamwambia lazima nimtumie siku hiyo halafu aende moja kwa moja asirudi tena kwangu na akitaka kesho aje mida ya jioni atanikuta nimeishadaka mwingine natumia, so asi-disturb kwa usalama wake!

loh, alivimba sana kwa makofi yale na alilia sana hadi nikamhurumia mtoto yule wa kichaga. nikamuuliza kama anapenda kuendelea kutumiwa na mimi, akasema bado anapenda, so nikamwambia ok, tukaendelea na sasa tuna baby boy about one year old!

kwa kweli nina ka-tabia kabaya sana kwenye malovee hata sijui nilikatoa wapi??
 
kwa mtu wa 35 kuoa 17 yrs ni matatizo hayo(more than twice yunger).
Ni challenges gani wataongea ndani?...na kwanini huyo mtoto amekimbia shule?
Ina maana jamaa hadi anavutia chumbani alikuwa hana mawasiliano naye, hadi ANAKUJA kufahamu kama surprise?
Sasa na we mkuu wangu Eeka, ulishindwa kumgundua huyo binti kuwa ni kinda?...maongezi yake hukuyastukia?
Jamaa akikimbia mkuu unadakwa weye hadi uweke sawa mambo!
Mshauri amwite mahali amwambia kiuwazi kuwa ni kinyume cha sheria kuoa mtoto wa 17 , mtafungwa bure!...Kama huyo mtoto hatoelewa ni moja ya kipimo cha utoto, basi jamaa akimbie hapo!
Hapo kwenye nyekundu una uhakika na unachokiongea mkuu? Ni sheria gani inayokataza kuoa binti wa miaka 17?
 
Jamani msaada
Jamaa yangu juzijuzi tu hapa kanambia kuwa kapata mchumba. Tulikuwa na ugomvi aoe maana yuko 35 sasa! Basi juzi tu akanambia kuwa kampata mwenza na anataka mipango iende fasta na aoe ikiwezekana this year. Basi bibiye naye kapenda tukaitwa tukaonyeshwa. Tukaona binti mzuri kwa kweli (kwa sura lakini maana tabia hatujui). Jamaa kapata bana! Toto mashallah kakamilika idara zote bana. Sasa juzi jamaa anataka kwenda kujitosa kwa wazazi akaja kwetu. Dodosa kumbe binti na mwili wake woote dah miaka 17 bana!
Mimi nilimuuliza ushampeleka chumbani kwako? Jamaa akanambia tayari na kila kitu safi ushirikiano wa kutosha. Nikamwambia sasa PINGU zinafuata! Ni bora aachane naye! Kaelewa akaanza excuse za hapa na pale! Mtoto kasema kama hatomwoa atamsemea kuwa alimwita akamskumizia chumbani akambaka na mbaya sms zote za kimapenzi alozokuwa anamwandikia ataonyesha maana hajazifuta kwenye simu yake. Jamaa anapanga kuishia zake mkoa mwingine. Nimsaidieje?
Nawasilisha

kwan huyo jamaa anamuogopa toto? Ampe 2 live kuwa atamsubiri akamilishe miaka hiyo 18, dah ila waambieni na hao kaka zenu waache tabia ya kupenda penda, watakuka kuitwa wabakaji! Shaur zenu, mi cpo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom