Ni miaka 1003 sasa tangu afariki mtaalumu wa fizikia ya hesabu

pamoja na kusoma kwangu phyics&mathematics mpaka chuo kikuu sijawahi kukutana na theorem yoyote ya huyu mtu,labda huko kwenye hesabu za madrasa.

Degree is not a skill.hivi umewahi kusoma encyclopaedia ya physics usilione jinahilo?au ndio degree za kukariri hand out.hamsomi mpaka kuwe na mitihani??.am glad idid not go to the schools that you went.jaribu google hilo jina ujionee mambo.
 
Degree is not a skill.hivi umewahi kusoma encyclopaedia ya physics usilione jinahilo?au ndio degree za kukariri hand out.hamsomi mpaka kuwe na mitihani??.am glad idid not go to the schools that you went.jaribu google hilo jina ujionee mambo.
Tunahitaji uhimizaji mkubwa kwa vijana wetu kuyarejea kila aina ya mang'amuzi!
 
pamoja na kusoma kwangu phyics&mathematics mpaka chuo kikuu sijawahi kukutana na theorem yoyote ya huyu mtu,labda huko kwenye hesabu za madrasa.

Acha kukariri wewe kwenda shule ni kuelimika siyo kumaliza madarasa



ibn-al-haytham-00.jpg

800px-Theorem_of_al-Haitham.JPG
 
Ni kweli kabisa labda kwa waliolishwa kua kila tafiti ni za wazungu hasa wakina NEWTON,GALILEO nk lakini tafiti nyingi zilianzia PERSIANS yani kwa sasa tunaweza kusema ni IRAN,TURKEY,IRAK na GREECE,ROMA nk...nenda usome uone ni nani aligundua hesabu za LOGARITHM then utajua kweli kua hawa wakina NEWTON waliendeleza wenzao walipoishia.....So usiamini kila jambo ni wazungu ata wa Africa nao wapo
 
binafsi sishangai wakristo wa tanzania kujifanya hawatambui mishango ya kielimu ya waislam hata america alianza kupambana na wazungu dhidi ya ubaguzi na kudai uhuru wa watu weusi alikuwa MALCOM X lakini kwakuwa alikuwa mwislam kafunikwa then tunapewa martin luthaking inakuja kweli ii
 
wanasayansi wengi ni Persians wa iran na Egypt .. na Jews.... wazungu wamekuja kuanzia walipoishia hawa watu!
 
Siku nyingine mkuu Yeriko ukiwa unapost kumbuka paragraph...hata huyo mwanazuoni ulisoma maandishi yake yakiwa na paragraph....
 
Last edited by a moderator:
"It warms my heart to see these flowing gowns. I congratulate you on work accomplished! For over a millennium, these gowns have been a symbol of high learning from the Indian Ocean to the Atlantic. Should anyone ask you where they came from, tell them that the early universities of Europe – Oxford, Cambridge, le Sorbonne – borrowed them from the Islamic madressa of the Middle East. If they should seem incredulous, tell them that the gown did not come by itself: because medieval European scholars borrowed from the madressa much of the curriculum, from Greek philosophy to Iranian astronomy to Arab medicine and Indian mathematics, they had little difficulty in accepting this flowing gown, modeled after the dress of the desert nomad, as the symbol of high learning. Should they still express surprise, ask them to take a second look at the gowns of the ayatollahs in Iran and Iraq and elsewhere and they will see the resemblance. Education has no boundaries. Neither does it have an end. As the Waswahili in East Africa, which is where I come from, say: elimu haina mwisho." - Beware Bigotry – Free Speech and the Zapiro Cartoons: Mahmood Mamdani « Kafila
 
peleka jukwaa la dini haya makitu..!!

Inauhusiano upi na jukwaa la dini? au unashangaa kuona kuwa Muislaam ni Mwana sayansi wakutambulika hata miaka 1000 baadae? usishangae sana Waislaam wana michango mikubwa katika sayansi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom