Ni mgeni ndani ya hili dambwe la mapenzi naombeni msaada

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Kuna rafiki yangu ni kama mdogo wangu kuna kademu anamzia toka kitambo'urafiki wao ulikuwa wa kawaida 2'baada ya wote kumalza form 4'dogo akawa anapga misele kwa demu mara apeleke kadi'na mambo mengne'ikafka kipnd wakawa close mara watoke 4 lunch'urafiki ukaenda ikifika kpnd dogo akamuomba demu date ya nght demu akubal ilikuwa kugo miss tz'cku ya cku ilipofika dogo akapata vishawishi kutoka kwa rafiki zake akaamu kutotoka nae demu hyo nght'demu ilimuuma sana ikifikia kpnd akumuandikia msg asimuombee tena outgoing'na hyo siku hatakaa aisahau maishani'bidae wakaja kupotezeana lakn baada ya muda urafik ukarud tena dogo anataka kuweka mstake zake sawa demu akasepa kwenda nje bdo wanawasiliana'jaman anaomba ushairi amsubirie aje kumuambia o ampotezee
 
Forever young! Mnasoma kweli nyie? mna umri gani? Uhusiano wao unaonekana si mzito kiasi cha kusubiriana mwambie aendelee na maisha yake huko mbele atampata mwingine atakaempenda. sijaona sababu ya yeye kumsubiri wakati hakukuwa na strong bond between them.
 
Ukisema wewe ndio mwenye shida sawa tutaelewa,pia nenda kamshauri rafiki yako asome kwanza haya mambo hayaishi na kila siku wanawake wanazaliwa na kila siku mambo yanakuwa tofauti,zaidi ukiwa na elimu yako hamna msichana atakaye kukataa...ila sasa hivi kwa vile hana elimu hana chochote ndio maana anapata hayo matatizo.....

N.B mwambie kwamba ampotezeee na atafute demu mkali kumzidi huyo anayeleta mapozzi...pia ampe mda huyo dada maana anataka kujua tu kama jamaa ana moyo nae au vipi....msiwe na haraka kula tunda hahaha......
 
huyo demu anajua anasubiriwa? isije ikawa yeye anawaza kumsubiri mtu asiyejua hata kama kuna mtu wa jina lake ana exist....in short,asonge mbele.....akirudi akampa nafasi....ewaaaa....wanaanza walipoishia....!!!!!!!!! masomo muhimu sana!!!!!!!
 
Kabisa vitu vingine ni kuchukua action wewe mwenyewe sio lazima kuuliza maana kama jamaa alikuwa haonyeshwi interest angepiga chini....zaidi ushauri wako mzuri sana......
 
vijana hebu wekeni juhudi kwenye masomo.. mambo ya mapenzi yanataka uvumilivu. hayako straight forward kama bongofleva zinavyowadanganya!

Mjifunze kutenganisha upendo na tamaa.. ili upendo ujengeke mara nyingine lazima mpitie magumu, ili baadaye muwe na mapenzi ya dhati.
 
Halafu bado vitoto sana. Kunyimwa outing ndio amind kiasi hicho.
Watu wanasubiriana kwa maelewano aisee.
Asije akasubiri tu wakati mwenzio hana mpango nae.
 
Haha eti bado vitoto sana,ndio akili zao bado hazijakomaa ndio maana,ila zaidi nadhani jamaa angalie sehemu nyingine siwezi kukaa kumsubilia mtu ambaye hana muelekeo na mimi.....
 
huyo demu anajua anasubiriwa? isije ikawa yeye anawaza kumsubiri mtu asiyejua hata kama kuna mtu wa jina lake ana exist....in short,asonge mbele.....akirudi akampa nafasi....ewaaaa....wanaanza walipoishia....!!!!!!!!! masomo muhimu sana!!!!!!!

ushauri wako mzuri nitamfikishia hata mm nilimwambia kitabu kwanza mengne yatafuata
 
Haha eti bado vitoto sana,ndio akili zao bado hazijakomaa ndio maana,ila zaidi nadhani jamaa angalie sehemu nyingine siwezi kukaa kumsubilia mtu ambaye hana muelekeo na mimi.....

tatizo huyo dogo ana dream ya kuja kumuoa'labda awe bize 2 na masomo kwa nw'
 
vijana hebu wekeni juhudi kwenye masomo.. mambo ya mapenzi yanataka uvumilivu. hayako straight forward kama bongofleva zinavyowadanganya!

Mjifunze kutenganisha upendo na tamaa.. ili upendo ujengeke mara nyingine lazima mpitie magumu, ili baadaye muwe na mapenzi ya dhati.

una point hapo inabdi nimsitizie asome kwanza'
 
Ukisema wewe ndio mwenye shida sawa tutaelewa,pia nenda kamshauri rafiki yako asome kwanza haya mambo hayaishi na kila siku wanawake wanazaliwa na kila siku mambo yanakuwa tofauti,zaidi ukiwa na elimu yako hamna msichana atakaye kukataa...ila sasa hivi kwa vile hana elimu hana chochote ndio maana anapata hayo matatizo.....

N.B mwambie kwamba ampotezeee na atafute demu mkali kumzidi huyo anayeleta mapozzi...pia ampe mda huyo dada maana anataka kujua tu kama jamaa ana moyo nae au vipi....msiwe na haraka kula tunda hahaha......

ingekuwa mimi ningeandika kwan kuna mtu ananijua humu'ushauri wako nitamfikishia'
 
Forever young! Mnasoma kweli nyie? mna umri gani? Uhusiano wao unaonekana si mzito kiasi cha kusubiriana mwambie aendelee na maisha yake huko mbele atampata mwingine atakaempenda. sijaona sababu ya yeye kumsubiri wakati hakukuwa na strong bond between them.

age zao btwn 20 mpaka 21'
 
nye jaman vitoto vya cku hizi? kama co wewe mwambie asome huyo atajarudi na mjapan bure akazimia airport ila kama wewe naomba uniPM
 
Back
Top Bottom