Ni mbuga ipi ya Wanyama ungependa kurecommend?

Unapenda ipi Beibe? na kwa nini? itanisaidia kuchagua - u never know, we just might be having same preference
Napenda kujua gharama pia, tatizo ni kwamba kupata info ndo tatizo

Consultant i av been in serenget n it was june and ndo nilibahatika ona wild animal immagration t was fun n nw wanaelekea ngorongoro skia ngoja niwasiliane na mtu wa huko then nikwambie gharama
 
here we go now i av spoken to the guy wa huko and the cost here ni entrance fee kwa mbongo ni 1500 n mzungu usd50 kama waenda na gari ya kwako gari ni 10000 kulipia na kama unakodi weng wanakodisha 150000 per day kuhusu accomodation kwasas kupata hotel za ndani ni ngumu saana wat amesuggest ni ukae za nje maeneo ya karatu au mto wa mbu ila karatu ndo karibu and pia kasema is beta uje na gari yako kuepusha gharama n si unajua gari zinazohitajika.sio tax wala rav 4 hapa au escudo naaah.sijui kama umekuwa satsfied
 
here we go now i av spoken to the guy wa huko and the cost here ni entrance fee kwa mbongo ni 1500 n mzungu usd50 kama waenda na gari ya kwako gari ni 10000 kulipia na kama unakodi weng wanakodisha 150000..............sijui kama umekuwa satsfied

Thanks so much Beibe. Nikitua TZ ntakutafuta uniconnect na huyo jamaa!
 
here we go now i av spoken to the guy wa huko and the cost here ni entrance fee kwa mbongo ni 1500 n mzungu usd50 kama waenda na gari ya kwako gari ni 10000 kulipia na kama unakodi weng wanakodisha 150000 per day kuhusu accomodation kwasas kupata hotel za ndani ni ngumu saana wat amesuggest ni ukae za nje maeneo ya karatu au mto wa mbu ila karatu ndo karibu and pia kasema is beta uje na gari yako kuepusha gharama n si unajua gari zinazohitajika.sio tax wala rav 4 hapa au escudo naaah.sijui kama umekuwa satsfied

kama unaenda Ngorongoro kukaa Karatu sawa....kama ni Serengeti no way....ni mbali mno na Karatu.....na kama sikosei migration saa hii itakuwa western corridor kuelekea Masai Mara.....
 
Back
Top Bottom