Ni mbuga ipi ya Wanyama ungependa kurecommend?

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Wandugu, nipo nafanya arrangements za kufanya utalii wa ndani around mid August. Idea ni kutembelea mbuga yoyote ya wanyama - kwa mara ya kwanza.

Nipeni uzoefu wenu.
Mbuga ipi ntafanikiwa kuona wanyama wengi zaidi?
Budget inakuwaje - accomodation, entrace fees etc?
Hivi kuna website yoyote naweza kuingia na kupata data zaidi?
 
Kwa wanyama wengi there is no doubt ni nothern circuit Arusha nenda serengeti pitia manyara na ukipenda ngorongoro na tarangire! Ila kama unapenda mazingira ya milima na misitu ivi pia maporomoko ya maji na mapumziko ya kutuliza akili hasa baada ua uchovu wa majukumu nenda udzungwa utaenjoy sana. Tena wana hostel za hifadhi ni bei poa sana.
 
i av never bein in ngorongoro bt i saw the documentary and it is where wanyama wengi wanapopatikana kwa sasa serenget u wont enjoy saana coz wanyama wameshafanya immagration n wanaelekea huko ngorongoro so like kingmairo alivosema kama abt maporomoko then udzungwa itakufaa
 
Mabwepande nako si haba, kuna ngedere, digidigi, nguchiro na mwisho wa yote kuna wanyama watu wanaovaa sare za polisi, ila chunga maana hao ni nyamaume wa hasa.
 
Mphamvu , habati mbaya natumia kamchina. ningekugongea like ya nguvu. pokea bas hata ya kibubu bubu!
 
Last edited by a moderator:
Tanzaniaparks.com pia
Kwa mtz entr fee ni sh 1500 kwa siku gari ndogo elf 10
Wanyama wengi kwa mara moja nenda lake manyara national park ila kila mbuga ina unique experience yake so inategemea unapenda nini hasa kama unataka kuona faru nenda ngorondoro crater unataka misitu arusha national park, kama unapenda beach na bahari nenda saadani.
 
Mphamvu , habati mbaya natumia kamchina. ningekugongea like ya nguvu. pokea bas hata ya kibubu bubu!

Nashukuru sana mukwano, sasa huyu mkulu wewe wamshauri ajongee mbuga gani, angekuwa Mzansi ningemshauri, maana kule mbuga za kutosha tu.
 
Last edited by a moderator:
Tembelea hifadhi ya rubondo ..ipo kisiwani ziwa Victoria...Utaona wanyama wakiwa na afya njema..licha ya hivyo utaona pia sehemu ya mazalia ya samaki pengine kubwa kuliko zote ziwa victoria
 
inategemea na ww unataka nini au kwenda kufanya nn huko ktk izo mbuga,,,,kuwinda,kutizama tu,kufanya research nk...ivo jaribu izi
1.Ngorongoro Conservationa Area I PakaAdventures.com
2.Tanzania Northern Circuit Safari Experience | 8 Days Northern Tanzania Safari Package
3.Tanzania Safari Vacation Packages: Tanzania Safari Tours, Holidays
hope nimekusaidia kidogo

Thanks Cute kwa web pages. Ntachungulia huko. Mimi nataka kwenda ku-enjoy tu na kupumzika kidogo huku nikiangalia wanyama
 
Kwa wanyama wengi there is no doubt ni nothern circuit Arusha nenda serengeti pitia manyara na ukipenda ngorongoro na tarangire!.

Thanks Kingmairo. Would you recommend Ngorongoro among the rest?
 
Tanzaniaparks.com pia
Kwa mtz entr fee ni sh 1500 kwa siku gari ndogo elf 10
Wanyama wengi kwa mara moja nenda lake manyara national park ila kila mbuga ina unique experience yake so inategemea unapenda nini hasa........Kama unapenda beach na bahari nenda saadani.

Mkuu Kaizer, Saadani ni mambo ya ''beach na bahari'' tu na hakuna chance ya kuona mnyama yeyote?
 
hapa utakesha wat u suppose to do is me im hoping kuwa ulikua na nationalpark dream ambayo ulikua unataman kwenda anza na hiyo kwanza angalia gharama zake pia n it depend unataka kampun iku guide. Au kama waenda as u pia yakupasa ufahamu gharama ila kila mtu aseme anayoipenda hapa ndugu kumbuka we defer in preference
 
Au kama waenda as u pia yakupasa ufahamu gharama ila kila mtu aseme anayoipenda hapa ndugu kumbuka we defer in preference

Unapenda ipi Beibe? na kwa nini? itanisaidia kuchagua - u never know, we just might be having same preference
Napenda kujua gharama pia, tatizo ni kwamba kupata info ndo tatizo
 
Mkuu Kaizer, Saadani ni mambo ya ''beach na bahari'' tu na hakuna chance ya kuona mnyama yeyote?

uzuri wake ndo huo, kwamba apart from seeing hao wanyama wengine kama twiga, swala, kuro, simba, tembo, nyati, tohe, na wengineo, una nafasi ya kufika beach kurelax tofauti na mbuga nyingine.
 
uzuri wake ndo huo, kwamba apart from seeing hao wanyama wengine kama twiga, swala, kuro, simba, tembo, nyati, tohe, na wengineo, una nafasi ya kufika beach kurelax tofauti na mbuga nyingine.

Asante kwa taarifa hii. Nadhani Saadani sasa inaingia kwenye list!
 
Mabwepande nako si haba, kuna ngedere, digidigi, nguchiro na mwisho wa yote kuna wanyama watu wanaovaa sare za polisi, ila chunga maana hao ni nyamaume wa hasa.

hii nzuri....park fees shs ngapi....
 
Back
Top Bottom