Ni mbinu za kisiasa au?

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Mtakubaliana nami wana Jf kwamba toka J/nne hakuna update ya mikutano ya Chadema toka A. mashariki, tofauti na huko nyuma karibu kila mkutano tulikuwa tunajuzwa hapa jamvini.
Ndio nauliza ni kwamba tumepotezwa, tumejipoteza au ni mbinu ya kisiasa ya kushinda katika hiki kipindi cha lala salama?
.
 
Back
Top Bottom