<br />SMA Gold , ni mazuri. Ila kopo ni 25,000/=. Maziwa ya ng'ombe hawashauri watoto chini ya mwaka mmoja labda uchanganye na maji.
<br />
vp maziwa ya soya yanafaa kwa mtoto?je kwa mama mjamzito?
<br />SMA Gold , ni mazuri. Ila kopo ni 25,000/=. Maziwa ya ng'ombe hawashauri watoto chini ya mwaka mmoja labda uchanganye na maji.
Wabongo bana kwa kujifanya wajuajiii..... Mtu ameomba msaada maziwa gani ya kopo mazuri nyie mnajibu maziwa mazuri ya mama tu...... Kwani mmesikia ye hataki kumnyonyesha mwanae...??????? Jamani mkiona mtu anauliza mjue lipo linalomsibu.... Mwingine maziwa hayatoki...... Mwengine mfanyakazi na analazimika kumuacha mtoto masaa mengi nyumbani.... Mwengine muathirika na hapaswi kunyonyesha....... Napendekeza tuwe tunatoa ushauri Kama ulivoombwa
Nakupa like mwanawane lakini wanawake wa kidijitali waki-google wakakuta uongo wa wafanya biashara wanaubeba kama ulivyo. Fungukeni wandugu wazungu haohao ndo wanaleta maziwa ya kuua vizazi vyetu, baada ya muda wanaleta matokeo eti utafiti unaonesha maziwa ya unga yana sumu, halafu wanaleta brand nyingine. Hapa kanda ya ziwa tunakamua na kunywa bila kuchemsha na tumekuwa watu wazima hatusikii hayo magonjwa yenu. Aki na mama mnaojifanya mmesoma mnagoma kunyonyesha eti nyonyo zisilale mtahangaika kuzunguka hospitalini.siwa elewi wote munaopinga maziwa ya ng'ombe wetu wakienyeji na kufumbatia maziwa yaliyoprocessiwa nawakati mwingine sio maziwa halali. Natoa mifano michache tu lakini huo ndio ukweli angali watu wengi wanaotoka kanda ya ziwz wanaafya sana na miili yao ni mikubwa kwa walio wengi maziwa haya hayana matatizo ni jinsi ya kuyatumia tu. yaani kuchemsha na kuongeza maji kidogo na vyakula vingine vya asili. tusiwe watumwa wa mataifa ya nje
Nakubaliana na wewe ila hili la 'mwingine mfanyakazi na analazimika kumwacha mtoto masaa mengi nyumbani' Hivi nyie wasomi kipi bora kati ya kunyonyesha mtoto kumwepusha na magonjwa yaletwayo na wazungu kupitia maziwa ya unga kama kansa, magonjwa ya ini na utahila au kazi inayokufanya umtelekeze mtoto?Wabongo bana kwa kujifanya wajuajiii..... Mtu ameomba msaada maziwa gani ya kopo mazuri nyie mnajibu maziwa mazuri ya mama tu...... Kwani mmesikia ye hataki kumnyonyesha mwanae...??????? Jamani mkiona mtu anauliza mjue lipo linalomsibu.... Mwingine maziwa hayatoki...... Mwengine mfanyakazi na analazimika kumuacha mtoto masaa mengi nyumbani.... Mwengine muathirika na hapaswi kunyonyesha....... Napendekeza tuwe tunatoa ushauri Kama ulivoombwa
Tupo pamoja mkuu, mimi mke wangu hunyonyesha watoto kwa maziwa yake mpaka anapomuachisha(zaidi ya mwaka mmoja na nusu).Kwa Ushauri wangu ikiwa Maziwa Mazuri ni ya Mama Mwenyewe aliyezaa mtoto ikiwa kama mama Mzazi maziwa yake hayatoki hapo ndipo kuna uwezekano wa kutumia maziiwa ya Kopo. Lakini ni vizuri zaidi Kutumia maziwa ya mama mwenyewe aliye zaa mtoto kuliko kutumia maziwa ya kopo. huo ndio ushauri wangu.