Ni masaibu gani yamemkumba Boflo..?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
292792_10151082686923907_668773582_n.jpg

ni ule usumbufu anaoupata kutoka kwa mabinti.....?
je ni msaada wa kisaikolojia anahitaji....?
amechoshwa na maisha ya mjini....?
au ni nini kinaweza kuwa kinamsumbua.....?
 
Preta sasa kinachouzwa hapo ni nini sasa hebu funguka au mwambie muuzaji afunguke
 
Last edited by a moderator:
View attachment 66604

ni ule usumbufu anaoupata kutoka kwa mabinti.....?
je ni msaada wa kisaikolojia anahitaji....?
amechoshwa na maisha ya mjini....?
au ni nini kinaweza kuwa kinamsumbua.....?

Boflo, umesikia hii ya Preta? Ni kweli umeamua kuuza hazina yako kirahisi na mchana kweupee namna hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom