Ni mapenzi au tamaa ya kwenda marekami?

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Jamani naomba mniambie kama wanapendana hawa au tamaa ya kwenda marekani?Huyu Mnigeria amefanikiwa kupata hicho wanachokiita green card kwa kwenda kuishi na mwanamama huyu wa kizungu kama mkewe.
,
,
 
Kuna picha za hao wandugu im trying to upload them
 
Dada calde - zamani wakati ninachat kule darhotwire kuja kijana alikuwa anaitwa books alikuwa yuko nchini uingereza sasa alienda kwa kuzamia huko sasa akakutana na jimama cb wa znz akamuomba uchumba mara wakakubaliana kufunga ndoa huyo cb alikuwa ni mtoto wa kidogo kwahiyo kutokana na ukigogo wake akamfanyia mipango books akapata pasi bandia akaweza kurudi nchini na kufunga ndoa na huyo dada cb

baada ya ndoa -- books akakataa kuendelea na jimama alichokuwa anataka yaani kurudi nchini alishapata na ameshafika nchni alichochuma majuu sasa anakiendeleza anaduka maarufu pale millenium towers

kwahiyo wakina dada na wakina kaka jifunzeni sana mambo haya haswa hawa wanaojifanya wanataka wake na waume kwa njia ya mtandao wengi wanakuwa na vitu wameficha nyuma ya panzia
 
Hivi wewe kwa nini uko so fast in concluding sex za watu?cant you even think twice before posting hata useme kaka/dada?
Shy there are some few things that you need to think and not be told!
 
'Dada calde'
Shy,how comes una ni address kama 'dada',Are you sure mimi ni dada?Do you want me to start both criminal and civil case?For sure this is Crime against humanity!
 
hahahaha mbona mkali........
 
Kama umeitwa kaka au dada uchune tu ukihangaika then unafanya watu wakujue unapost chache wewe ni mgeni watu wanataka wakujue so unachokozwa shauri zako jifunze ya dunia
 
Mh! huo uchokozi mimi naona umevuka mipaka, ya mwanaume kuitwa dada ni zaidi ya uchokozi.. Unaonaje kama kweli ulikusudia kujua jinsia yake ungetumia viashirio kama Kaka/Dada ili yeye ajitambulishe ni wa pande gani kati ya hizo?

Anyway Pole sana Mdau uliyebandikwa jinsia iliyo kinyume na hali halisi!
 
'Dada calde'
Shy,how comes una ni address kama 'dada',Are you sure mimi ni dada?Do you want me to start both criminal and civil case?For sure this is Crime against humanity!

Mhh mbona unamikwara kiasi hicho dada punguza makali kidogo
 
Usiusemee moyo. Nadhani kama wanapendana ama la wanajua wenyewe.

Swali zuri labda kama wewe ndio ungekuwa umepata zali kama hilo na uende kuishi na hilo jimama, ungeacha kwenda? Hata kama inamaanisha ndio kuaga umaskini wa kwene bongo?

Au kama wewe ni demu, umevutwa na mshakaji yuko mitaa inayowaka taa full time na hakunaga mgao, na unajua humzimikii mshkaji, ungethubutu kuacha kwenda?
 
Back
Top Bottom