Ni mambo gani hasa hufanyika maharusi wanapokuwa HONEYMOON!?

Vp kwa sisi tulioanzana zamani hadi tukazaa katoto ka kiume, kuna haja ya hiyo ASALIMWEZI?
 
hakuna jipya mwanangu
ulichofanya nae kabla ya kwenda kanisani ama msikitini ndicho hicho hicho mnaenda kufanya marudio
kinachofanyika mnakuwa mmebadili mazingira badala ya kusale guest house this time mhamie hata NAMNANI BASI JAMANI
 
Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani naamini kuna wengi humu mlipitia hiyo stage! So i hope mtatufahamisha kwa undani zaidi! Karibuni sana!

Yahe huko ni kula muhogo na kitumbua bila chai wala juisi.
 
Kusudio ni baada ya theory then Physiccc! Yule anasafisha Rungu na huyu anapima urefu x unene wa Rungu! Nothin' else!
 
Honeymoon ilikusudiwa yafuatayo;
  1. Wanandoa wapate muda wa kupumzika na kujuana vizuri.
  2. Wanandoa wapate muda wa kupanga maisha yao na kupeana majukumu katika familia mpya wanayoianzisha.
  3. Wanafamilia ya mume kujihakikishia kuwa mtoto wa kwanza ni wao(baadhi ya makabila honeymoon miezi hadi sita).
  4. Kufurahia ndoa yao mpya.
 
labda haya mawili ya mwisho ila hayo ya kwanza..mh mh nakataa...inamaana mpaka wanafunga ndoa walikuwa hawajui nini wanafata katika ndoa mpaka ndo waanze kupanga wakiwa honeymoon...!!?
 
Honeymoon ilikusudiwa yafuatayo;
  1. Wanandoa wapate muda wa kupumzika na kujuana vizuri.
  2. Wanandoa wapate muda wa kupanga maisha yao na kupeana majukumu katika familia mpya wanayoianzisha.
  3. Wanafamilia ya mume kujihakikishia kuwa mtoto wa kwanza ni wao(baadhi ya makabila honeymoon miezi hadi sita).
  4. Kufurahia ndoa yao mpya.
You must be kiddin me....
 
Back
Top Bottom