Ni mambo gani hasa hufanyika maharusi wanapokuwa HONEYMOON!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani naamini kuna wengi humu mlipitia hiyo stage! So i hope mtatufahamisha kwa undani zaidi! Karibuni sana!
 
kwli kabisa watueleweshe mm mwenyewe cjui,bt utakuta na wengine wanasema ckuizi kuna hooney moon basi?wakati kila kitu wanajua?na wala hawajakutana jana wala juzi.ni tofauti na zamani?,kiukweli wananichanganya
 
Nadhani ilinuiwa kwa maharusi kupumzika baada ya mikiki ya maandalizi ya sherehe. Kijijini kwetu fungate maharusi wanakaa ndani siku 7 na ni kazi ya ndugu wa bibi na bwana harusi ku-supply chakula ambacho hupikwa na kuletwa kwao maharusi kikiwa tayari. Labda bibi harusi ajue pia na wakweze wanapikaje pia. Na isitoshe bi harusi hajui kijiko wala kisu ki wapi, kwa siku hizo 7 atakua keshajipanga.
 
Na ndo maana no phone calls no visitors. Hiyo anayoongelea King'asti labda fungate. Ila honeymoon hotelini hakuna cha kupika wala kijiko kiko wapi wala mwiko. Ni shughuli moja tu; hamna cha hodi. Ni nyie wawili. Ndo maana watu husema tunaenda second honeymoon; wakiwa na maana wanaenda somewhere private wakapeane mambo.
:juggle:

matusi tu kutafuta mtoto.....lol
 
Mke mwenza utasutwa kwa kuleta siri za kijijini jamvini....

Kwani kwenye h'moon yako na kakake ashadii mlivyoenda china mlikuwa mnafanya nini?

Mwisho nakusalimu kwa amani ya bwana.
 
Tatizo lako ulikimbia mkoleni! Afu mlikua na NK eh? Yale mengine hayasemwi manake tunayaendeleza hadi leo,lol!
Mke mwenza utasutwa kwa kuleta siri za kijijini jamvini....

Kwani kwenye h'moon yako na kakake ashadii mlivyoenda china mlikuwa mnafanya nini?

Mwisho nakusalimu kwa amani ya bwana.
 
Nilidhani fungate kwa kidhungu ndo honeymoon?
Na ndo maana no phone calls no visitors. Hiyo anayoongelea King'asti labda fungate. Ila honeymoon hotelini hakuna cha kupika wala kijiko kiko wapi wala mwiko. Ni shughuli moja tu; hamna cha hodi. Ni nyie wawili. Ndo maana watu husema tunaenda second honeymoon; wakiwa na maana wanaenda somewhere private wakapeane mambo.
:juggle:
 
si poa kabisa, kwenda ku-do wakati dingi,maza na jamii yote kujua dada flani leo anapasuliwa mayai yakutosha!
 
kwani walivyoona anaolewa walidhania anaenda kufanya nini huko kwa mume?lol
 
Yale yale unayofanya na gf ukiwa guest house. Ila kule hakuna kinga ni rough game zaidi.
 
Back
Top Bottom