Serikali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba inafanya kazi kwa miongozo iliyopo kwa mujibu wa katiba! Kumuamrisha Rais achague kiongozi/Waziri unayemtaka ni kuidharilisha serikali harali iliyopo kwa mujibu wa katiba!. Unaweza kutoa ushauri lakini si kwa kulazimisha. Na serikali yoyote inayofanya kazi kwa kushurutishwa si kwamba ni sikivu ila ni dhaifu!
Hivyo ktendo cha madaktari kumshurutisha Rais kuwajibisha viongozi aliyowateua ndipo wafanye kazi ni utovu wa nidhamu!. Kama Sekta zote tukiamua hivyo basi serikali haiwezi kufanya kazina itacollapse. Hivyo nashauri yafuatayo kwa serikali na wengineo;
1. Tatueni matatizo ya madaktari na wafanyakazi wengine kwa utaratibu bila kulazimishwa lakini pia kwa kuzingatia umuhimu wa hoja. Utatuzi wa matatizo usiwe wa muda mrefu watu kukaa vikao na kuchuma perdiems ikigeuzwa kama mradi
2. Tambua kwamba hatua yoyote ya madaktari kugoma ni hujuma kwa serikali na wananchi wake kwa ujumla.
3. Tambua ikitokea Madaktari wamegoma, chukueni msimamo mgumu wa kutokubali kudhalilishwa, pelekeni wagonjwa wa dharula Hospitali za binafsi, nchi za jirani, Hospitali za jeshi,polisi na pia kukodi Madaktari wa dharula kutoka kwa nchi marafiki na hata ikiwezekana kuwa na deni kwa ajili ya hili.(WAFAHAMISHE WATANZANIA TUPO KTK DHARULA).
4. Tafuta utaratibu wa kisheria na kutathimini athari inayoweza kujitokeza ili hatua kali zichukuliwe kwa wahujumu.
5. Asiyetaka kazi aache, Serikali kuweni na maamuzi, acheni kuchekea watu hovyo hovyo, wekeni usimamizi wa kuratibu utendaji kazi asiyefanya kazi afukuzwe maramoja kwamujibu wa sheria bila kubembelezana.
6. Vyama vya wafanyakazi kama TUGHE na TMA mnao uwezo wa kuzuia migomo au kuichochea.Tunawaangalia!.
Serikali iheshimiwe, na serikali onyesheni kwamba mmepewa majukumu ya kusimamia watu! Kuweni na huruma kwa watu wasiyo na hatia! Otherwise tungetamani tuwe kwa KAGAME ambako ujinga ujinga kama huu huwezi kuuona!
Asyependa mawazo yanguna asipende na huu ndiyo msimamo wangu!.
Nawasilisha kwa manufaa ya NCHI yangu.