Ni majonzi: Mamia wajitokeza kuaga mwili wa askari aliyejinyonga moro

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]


Mtoto Consolatha Donald (7) akiaga mwili wa marehemu baba yake huku akiwa mikononi mwa mama yake mzazi Diana.

Mwanasheria Aman Mwaipaja ambaye alijitolea kumtetea bure marehemu Dunga kwenye mgogoro wake na baadhi ya polisi wenzake aliwashutumu kushirikiana na majambazi, akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Dunga.




[h=1]Mjane Diana akiangua kilio baada ya kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa aliyekuwa mume wake Afande Donald Mathew[/h]
Mchungaji akiongoza ibada ya mazishi


Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Hamida Shariff akimpa pole mke wa marehemu Diana




Danstan Shekidele, Morogoro yetu
[h=1]Mamia wajitokeza jioni hii kuaga mwili wa askari Donald Mathew Dunga aliyefariki baada ya kujinyonga juzi kwenye daraja la shani mjini Morogoro.[/h][h=6]Mwili wa askari huyo umeagwa jioni hii katika jioni hii kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha hospital ya Mkoa wa Morogoro baada ya Mwili wake kufanyiwa uchunguz kwa zadi ya maaa 48.

Baada ya ibada fupi iliyofanyika kwenye hospitalini hapo kukamilika, wananchi waliofulika eneo hilo walipata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu na kabla ya safari ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleka Moshi haijaanza.

Miongoni mwa watu walishiriki kwenye tukio hilo ni pamoja na viongozi wa jeshi la polisi, walioratibu kila kitu ikiwemo kutoa gari la kusafirishwamwili, waandishi wa habari, ndugu na jamaa wa marehemu.
[/h][h=6]Blogzamikoa[/h][h=6]www.blogszamikoa.blogspot.com [/h]
 
Alikuwa kijana kweli... RIP... Nchi yetu inatamani MALI kuliko UHAI wa Mwanadamu
 
Alikuwa kijana kweli... RIP... Nchi yetu inatamani MALI kuliko UHAI wa Mwanadamu

sawa alikuwa kijana mzuri hebu zimwage hizo picha hapa maana Thread yako ni skeleton ijaze nyama (PICHA hizo) hata km ziko Blog za Mikoani tuletee
Haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007
 

Attachments

  • mama na mtoto.jpg
    mama na mtoto.jpg
    43.9 KB · Views: 95
ungefanya jitihada ukatuwekea namba ya mjane wa marehemu kwa ajili ya atakae guswa kumtumia michango kidogo kwa ajili ya mtoto. i feel so sorry mtoto kaacha mdogo sana
 
  • Thanks
Reactions: ral
sawa alikuwa kijana mzuri hebu zimwage hizo picha hapa maana Thread yako ni skeleton ijaze nyama (PICHA hizo) hata km ziko Blog za Mikoani tuletee
Haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007

Sijakuelewa
 
Kwa kweli inasikitisha,pumzika kwa amani mpiganaji,Wafiwa Mungu awape uvumilivu
 
ungefanya jitihada ukatuwekea namba ya mjane wa marehemu kwa ajili ya atakae guswa kumtumia michango kidogo kwa ajili ya mtoto. i feel so sorry mtoto kaacha mdogo sana

Mkuu inasikitisha sana kuona watoto wanaingia katika maisha bila baba wakiwa bado wadogo. Mungu ampe nguvu mjane ya kukabiliana na maisha haya mapya, watoto wapate nguvu ya kuishi bila baba na marehemu R.I.P. Bro!
 
Sijakuelewa

Sorry nngu007 huenda kulikuwa na matatizo ya mtandao kwani mwanzo kulikuwa hakuna picha, na ndio maana nikakueleza
Haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007 na zilipishana kwa muda wa dk 11 tu
 
Hali hii inatisha sana, sijui who is next. Lakini awamu hii ya utawala ijiangalie sana.
 
sorry nngu007 huenda kulikuwa na matatizo ya mtandao kwani mwanzo kulikuwa hakuna picha, na ndio maana nikakueleza
haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007 na zilipishana kwa muda wa dk 11 tu
oh ok...
 
Kama kuna mkono wa mtu katika kifo hiki ajue yeye na famila yake imelaanika. machozi ya mjane na mtoto hayatakuwa ya bure. Wenye haki wanauawa lakini Mungu wa mbinguni hataacha kulipiza kisasi. Mkifurahi mkidhani mmeshinda hamtaweza kumshinda Mungu wa mbinguni ambaye anazo roho zenu.
 
mtume MUHAMAD SAW aliwafundisha binadamu. aliwaambia usipende kujiweka kimbelembele . SASA MATOKEO YAKE NDIO HAYO AMEACHA MJANE NA WATOTO . wenzake wanaendelea kula . na wataendelea kula na kula
 
kifo kingine kibaya kinachoelezea uchafu ambao nchi yetu imeufikia,kwa sasa huwezi kuwa mwema ukaishi kwa amani aidha wakuue au wakusumbue sana lakini yanamwisho haya.
 
Back
Top Bottom