Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

hahahahah loh siku moja nitasema kwa nini nilijiita hivyo loh...



  1. Erotica - yukoje 6x6, is she as good as her signature
  2. charminglady - is she very charming?
  3. Roulette - the russian game (russian roulette)
  4. Fixed Point - kwa nini yuko fixed? je hawezi kusogea?
  5. BADILI TABIA - kwa tabia yake sasa hivi ikoje mpaka atake kuibadili
  6. gfsonwin - not sure kama ni intials zake au just random lettering, bado sijafumbua hili fumbo
 
kuna memba nimekuta amevisit page yangu....... jina lake tu limenihamasisha nitoke jioni hii....anaitwa mchemsho... walaaahiiii najua mchemsho ina maana nyingi inaweza kuwa mtu kachemsha iwe kwenye kuongea au kutenda ila mchemsho humaanisha chakula..... na napenda mchemsho ndo naufuata hapa.......

in short nimeipenda hii ID... mchemsho...
 
Last edited by a moderator:
ongezea na yahoo na Anselm haijawitokea wasiwaongelee yanga na kuwa ponda washabiki wa timu zingine..


tarehe 13 mwezi novemba mwaka
1991 katika uwanja wa taifa timu ya
Yanga ya Tanzania waliingia uwanjani na basi la
Sharuksy lililokuwa likimilikiwa na mfadhili wao wa kipindi hicho marehemu Abbas
Gulamali, timu ya Simba ya Dar es salaam iliweka mpira kwapani wakati wa mapumziko na
kutokomea kusiko julikana.
kuweka mpira kwapani kulifuatia vipigo
mfululizo vya august 31, october 9 lakini ilitanguliwa na kipigo cha Said Sued "Scud" cha
mei 18.
 
Last edited by a moderator:
cacico huwa natamka Kachiko na sitaki mtu anibadilishe
cacico where are u utupe correkt spelling..and while on ur way njoo na gfsonwin (huwa napataga shida sana kukumention).
Hata wewe platozoom sometimes huwa nawaza labda ulikoseaga spelling za jina lako..sijui ulitaka iwe protozoa sijui yani....au nn hasa maana ya jina hilo!??
 
Last edited by a moderator:
cacico where are u utupe correkt spelling..and while on ur way njoo na gfsonwin (huwa napataga shida sana kukumention).
Hata wewe platozoom sometimes huwa nawaza labda ulikoseaga spelling za jina lako..sijui ulitaka iwe protozoa sijui yani....au nn hasa maana ya jina hilo!??

Protozoa? nitake radhi......... platozoom ndilo lenyewe na halijakosewa, panapo majaaliwa nitaelezeaa maana yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom