Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

Last edited by a moderator:
BAGAH.....natamani nimwambie anibakshie walau robo ya baga yake cacico....yani sijuagi nilitamkeje afu kuna mtu nimem'mbandika hili jina ....usinidai fidia pleeeeeez
gfsowin.....mhhh najua mwenyewe nnavolitamka :nerd:
Paloma cacico anaiwa kasiko, halafu langu tamka gifsoniwini. pole. ila mzim weye?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hadi umefkia kulipenda jina langu lazima kuna wakati utakuwa una washwa washwa....... ha haaa just a joke!

ujue mkuu nimekukumbuka mana kuna siku umetupia post...watu wakakushambulia...mmoja akasema washwa washwa mpaka makalioni...nilicheka kama chizi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom