Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

Gang Chomba.
Huyu jamaa sijawahi kusoma post yake halafu isiwe na pumba au asimsifie Gaucho, au asiisifie AC Milan, Yanga na Abajalo.
Basi na avatar yake utadhani anaongea kweli

ongezea na yahoo na Anselm haijawitokea wasiwaongelee yanga na kuwa ponda washabiki wa timu zingine..
 
Last edited by a moderator:
hebu tupia neno zito humu la kiswahi...utajua kama Fang ni mmatumbi au mzaramo...

:biggrin1::biggrin1: Umenivunja mbavu, huyu jamaa atakua mkenya maana wanajuaga kusoma kiswa lakini hawawezi kuandika...inabidi kue na shindano humu ndani la kusema FANG ni mtu wa wapi na mshindi yeye mwenyewe amtaje :happy:
 
kuna MPAMVU! sijui nimepatia jina mara ya kwanza kulisoma nilisoma Mpumbavu' nisamehewe na mwenye jina. Nisimsahau GOLDEN MPOLEE
 
:biggrin1::biggrin1: Umenivunja mbavu, huyu jamaa atakua mkenya maana wanajuaga kusoma kiswa lakini hawawezi kuandika...inabidi kue na shindano humu ndani la kusema FANG ni mtu wa wapi na mshindi yeye mwenyewe amtaje :happy:
mtotowamjini nataka amtest kwa kuandika uozo,
akikula BAN then atajua kama mkuu anajua kiswaz au la.
 
Last edited by a moderator:
  1. Erotica - yukoje 6x6, is she as good as her signature
  2. charminglady - is she very charming?
  3. Roulette - the russian game (russian roulette)
  4. Fixed Point - kwa nini yuko fixed? je hawezi kusogea?
  5. BADILI TABIA - kwa tabia yake sasa hivi ikoje mpaka atake kuibadili
  6. gfsonwin - not sure kama ni intials zake au just random lettering, bado sijafumbua hili fumbo
 
Last edited by a moderator:
BAGAH.....natamani nimwambie anibakshie walau robo ya baga yake cacico....yani sijuagi nilitamkeje afu kuna mtu nimem'mbandika hili jina ....usinidai fidia pleeeeeez
gfsowin.....mhhh najua mwenyewe nnavolitamka :nerd:
tamka kasiko Paloma, mzima wewe?? jina lako lanikumbusha paloma wa kwenye bigbro
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom