Ni maadili ya Kiafrika baba kumnunulia binti yake (aliyepevuka) chupi?

Sio vizuri...ndo mwanzo wa kuanza kufikiria itampendeza vipi...mwishowe anataka kuiona mwenyewe!!Hiyo iwe kazi ya mama...au ikibidi sana baba anaweza kumpeleka dukani akakaa pembeni wakati binti ananunua!

Kwani mama hawezi kumfikiria mwanawe wa kiume? Au na mama haifai kumnunulia mtoto wake wa kiume chupi?
 
Kwani mama hawezi kumfikiria mwanawe wa kiume? Au na mama haifai kumnunulia mtoto wake wa kiume chupi?

Huyo mama hana haja ya kumfikiria maana tayari anamjua fika...sindo wanaolea bwana!Nwyz katika kesi za wazazi wanaotembea na watoto wao wababa ndo wanaongoza...sasa hapo changanya na zako!
 
Huyo mama hana haja ya kumfikiria maana tayari anamjua fika...sindo wanaolea bwana!Nwyz katika kesi za wazazi wanaotembea na watoto wao wababa ndo wanaongoza...sasa hapo changanya na zako!

Kwa hiyo baba kumnunulia mwanae wa kike chupi sio maadili ila mama akimnunulia mwanae wa kiume ni sawa tu. Je baba akimnunulia wa kiume chupi ni kosa pia kwa kuwa hakumvalisha nepi?
 
Back
Top Bottom