Ni ma celebrity gani wa bongo wanaomiliki nyumba? Majina

admissionletter

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
329
157
Hivi ma "celebrity" wetu wana mwelekeo gani kuhusu kujenga future yao kwa maana na kumiliki makazi (nyumba)? Kuna baadhi ya ma celebrity wa zamani ambao wanamiliki nyumba zao lakini kwa mwelekeo ulioko sasa, ma celebrity wa kizazi kipya wanapenda zaidi kumiliki magari ya kifahari na kusahau kuweka umuhimu wa kuwa na nyumba zao. Wenzao wa Uganda wanajitahidi kuwa na nyumba zao na wanashindana kwa uzuri wa nyumba, si magari peke yake. Marekani vile vile mafanikio ya ma celebrity yanaendana na viwango vya nyumba wanazoishi.Hoja hapa si kwamba nyumba ni bora kuliko gari, hapana. Celebrity kuwa na gari ni muhimu lakini kama hana nyumba gari la kawaida linatosha na kumiliki gari la kifahari hakuna umuhimu. Kumbukumbu ya kazi za ma celebrity itakayobaki kwa muda mrefu ni nyumba si magari. Nimeona juzi juzi mmoja wao kapata ajali na gari la kifahari. Karibuni tutaje hapa majina ya ma celebrity wa bongo wenye nyumba zao na kuwapongeza na kutoa mawazo yetu kuhusu suala hili.
 

Attachments

  • Ajali-Kiria 3 - Copy.jpg
    Ajali-Kiria 3 - Copy.jpg
    71.4 KB · Views: 1,070
mi ninayemjua anamiliki nyumba na inayotoka na jasho lake mwenyewe ni ladyjaydee,sijui ana ngapi ila naijua ile ya kimara.
(unaweza kumiliki nyumba lakini sio ya jasho lako)
 
yaani hata hili la kiria unaliona kuwa gari la kifahari mpaka umelipost hapa kama mfano!!!??
 
mbona hakuna celebrate bongo?????? utakuwa umechanganya jina la state wewe......... unaconsider celebrate kwa factor zip ua hujui ni kwanini mtu anaitwa celbrte.......... hakuna hta moja bongo.......lolooo
 
mbona hakuna celebrate bongo?????? utakuwa umechanganya jina la state wewe......... unaconsider celebrate kwa factor zip ua hujui ni kwanini mtu anaitwa celbrte.......... hakuna hta moja bongo.......lolooo

Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and in certain circumstances show an extroverted personality. There is a wide range of ways by which people may become celebrities: from their profession, appearances in the mass media, or even by complete accident or infamy.
 
hivi ma "celebrity" wetu wana mwelekeo gani kuhusu kujenga future yao kwa maana na kumiliki makazi (nyumba)? Kuna baadhi ya ma celebrity wa zamani ambao wanamiliki nyumba zao lakini kwa mwelekeo ulioko sasa, ma celebrity wa kizazi kipya wanapenda zaidi kumiliki magari ya kifahari na kusahau kuweka umuhimu wa kuwa na nyumba zao. Wenzao wa uganda wanajitahidi kuwa na nyumba zao na wanashindana kwa uzuri wa nyumba, si magari peke yake. Marekani vile vile mafanikio ya ma celebrity yanaendana na viwango vya nyumba wanazoishi.hoja hapa si kwamba nyumba ni bora kuliko gari, hapana. Celebrity kuwa na gari ni muhimu lakini kama hana nyumba gari la kawaida linatosha na kumiliki gari la kifahari hakuna umuhimu. Kumbukumbu ya kazi za ma celebrity itakayobaki kwa muda mrefu ni nyumba si magari. Nimeona juzi juzi mmoja wao kapata ajali na gari la kifahari. Karibuni tutaje hapa majina ya ma celebrity wa bongo wenye nyumba zao na kuwapongeza na kutoa mawazo yetu kuhusu suala hili.

umbeya tu ukishajua itakusaidia nini?kasome katiba ya nchi uijue vizuri itakusaidia kujua kama wenzako jana arusha wameonewa au wana haki.
 
Halafu kiuno kigumu hicho kama cha mtoto.inabidi afanye mazoezi ya kuchora 1-10 kwa kiuno ili kukilegeza kidogo,maana hatariiiii!!!
he he hee,umeona eeh?lakini shosti haya mazoezi 110 itabidi tufwatane chemba unifafanulie kwa vitendo
 
1. Mbowe (Tanzania, aliyorithi kwa babake na nyingine Uingereza, alienda kuinunuwa wakati babaake yuko hai na alikuwa na demu wa kiunguja pale London 1988 or 1989) Jiulize pesa za kununulia nyumba uingereza babake alizipata wapi nae alikuwa mtumishi wa serikali?
2. Mtikila
3. Slaa, (Nyumba mbili moja halali moja haramu)
4. Mnyika (soon, kisha anza kujenga baada ya kuukwaa ubunge!
 
Joyce nakuunga mkono

umbeya tu ukishajua itakusaidia nini?kasome katiba ya nchi uijue vizuri itakusaidia kujua kama wenzako jana arusha wameonewa au wana haki
 
mimi ninazo mbili na magari mawili ya kfahari, usitake kujua zaidi majina yangu
 
mi ninayemjua anamiliki nyumba na inayotoka na jasho lake mwenyewe ni ladyjaydee,sijui ana ngapi ila naijua ile ya kimara.
(unaweza kumiliki nyumba lakini sio ya jasho lako)

Kumiliki kokote kwa kitu ni kwa jasho lako, hata kama ni kuhongwa, kwa maana ya kwamba jasho lilimtoka mhusikia kama kaipata hiyo mali kwa ngono, hapo tuna mpa haki sawa yeyete aliye miliki mali .

Kama ukimaanisha kumiliki kwa kuhongwa sio kwa jasho, utajuaje hawa watu maarufu duniani kama hawahongwi? Umesha sikai story za hawa super models wanavyo hongwa na ma tycoon pesa nyingi ili walale nao? Hwana movies stars wa Holywood wanavyo hongwa na billionears za huko Uarabuni kulala nao? wote hawa tukiona nyumba zao tuna heshimu eti ni matajiri.

Huyo Lady JD mwenyewe huwezi jua , yeye ni mwaname na naweza tumia uwanauke wake kupata chohocte ana chotaka na hiyo ni moja ya akili na ujanja.
 
Riz one nyumba 3 na gari za kifahari 4, Rostam kila mkoa na barani Ulaya ana Nyumba za bei ghari zenye thamani ya mabilioni ya Tshs.
 
Back
Top Bottom