Ni lini uandikishaji wa vitambulisho vya kupigia kura, utaanza?

Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
6,686
7,487
Hi wanaJF, napenda kufahamu ni lini taasisi ya uchaguzi Tanzania-NEC, itaanza mchakato wa kusajili na kutoa ID cards za kupigia kura? Kumekuwepo na chaguzi za dharula, na bado zitaendelea kuwepo. Hili linatuathiri tuliopoteza kadi na ambao hatukuwahi kuwa nazo, tunakosa haki yetu ya msingi. My take: Ikitokea fursa hiyo vijana itumieni effectively!!
 
Na vitambulisho vya uraia vimefikia wapi jamani? ni vizuri tuendelee kuuliza uliza maana wajanja wako wengi nchi hii.
 
Kadi yangu naitunza kama vyeti vyangu

Ya kwangu wallahi hata mende akiikojolea tu anakufa papo hapo! Mimende kibao imekufa humu ghetto kwangu kwa sababu ya kukichezea kitambulisho changu cha mpigakura. Baada ya Kitabu chetu, ID yangu inafuata katika ninavyovienzi. Ha ha ha ha ha ha!
 
wanasubir waone upepo wa kisiasa unavyokwenda, israel mtoa roho yupo karibu sana kuimaliza CCM, labda CCM walijua wakichelewa kuandikisha ndivyo watakavyopata mda wa kuendelea kuishi kidogo.
 
Watawala wanajua fika wakijichanganya kuandikisha mapema watapata usumbufu mkubwa kwenye chaguzi ndogo, kuna vijana wengi waliotoka kwenye mabehewa ya shule za kata wanasubiri kwa hamu kupata hizo kadi waoneshe elimu waliyoipata kwa vitendo. Bora tucheleweshe kidogo mpaka muda wa chaguzi ndogo upite.
 
Na vitambulisho vya uraia vimefikia wapi jamani? ni vizuri tuendelee kuuliza uliza maana wajanja wako wengi nchi hii.
aaah! hivi bado kidogo, mchakato unaendelea, si unajua managements yote ya wanaoviandaa ni wakenya na wasomali.....! hao ndo wenye nchi hii na ndo wanaopaswa kupata hivyo vitambulisho, wee wakutoka kishumundu hujatimiza masharti bado.
 
Watawala wanajua fika wakijichanganya kuandikisha mapema watapata usumbufu mkubwa kwenye chaguzi ndogo, kuna vijana wengi waliotoka kwenye mabehewa ya shule za kata wanasubiri kwa hamu kupata hizo kadi waoneshe elimu waliyoipata kwa vitendo. Bora tucheleweshe kidogo mpaka muda wa chaguzi ndogo upite.

kweli hiyo itakuwa sababu make NEC, Policcm, mahakama na takukuru zishabinafshishwa, na CCM ndo mmiliki!
 
Back
Top Bottom