kotinkarwak
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 376
- 114
Tukubali tu kuwa the fear of potential piracy inamfanya mwenye nia ya ku'invest muda na pesa kudevelop software katika market ambayo imekubalika kuwa piracy is order of the day.
Katika kulinda intellectual property ya software kuna break even point ambayo developer atakuwa ameifanyia kazi kuwa, akiweza kuuza software say for 35% of target copies atakuwa ame'recover costs za kuitengeneza... atapigia hesabu ya loss of around 15-20% na hizo asilimia zingine zitakuwa kwenye kueneza soko na profit margins. Cha muhimu ni hiyo profit margin ambayo itamtoa na kuweza kuendeleza hiyo software na ideas zingine ambazo atakuwa nazo au ataweza kuzinunua hapo baadae. Kama hesabu zetu ni kuwa kama developer utaambulia patupu basi hizi ideas zinaishia kuwa ndoto to the developer and ndoto zaidi to the potential clients.
Kuongelea serikali na wizara naona tunadanganyana, unless kwa Bongo, due dilligence za software companies hazifanyiki. Mnunuzi (serikari/Wizara/Taasisi) watahitaji kuona kuwa huyu developer (company) ina uwezo wa kuwepo (time) kuisupport hiyo software yao na hapo inamaanisha a lone developer sijui atapata wapi hiyo credibility of time/money kuonyesha kuwa atakuwepo (in terms of experience ya staff wake) kuweza kuiendeleza na kui'support hiyo software in the many years to come.
Mfano: Ume'develop some accounting application. Cost/List price 50Mil. Ndio hiyo ni pesa nyingi lakini, if you have a number of employees/colleagues na other costs, that money can only last a few years/months before it runs out. The client atakuwa anategemea kuitumia software for say the next 10 years... Je utaweza? Ndio labda kutakuwa na annual support contract ambayo italipiwa lakini sidhani kama itakuwa at the same cost price ya mwanzoni hence longevity ya hiyo kampuni/developer itakuwa na ulakini.
Kwa hiyo tusi'under estimate umuhimu wa consumer mmoja mmoja katika marketing and development strategies kwani humo kama software itaweza kuwa protected ndipo kwenye pesa (longevity) ya idea.