Ni lini tanzania tutaanza kuwaenzi wasanii wetu?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Tunawaenzi vipi wasasnii wetu?
wapo wengi wa ngoma na maigizo, miziki ya dansi na michezo.
je tunawaenzi vipi, wao na mchango wao kwa jamii?
Morris Nyunyusa, ni nani anamkumbuka?
Wachezi ndio tunao wengi lakini hamna anaewakumbuka,
hawamo hata kwenye benchi la ufundi la Taifa Stars.



roger-milla-300x218.jpg
Roger Milla mchezaji wa zamani wa Cameroon
 
Back
Top Bottom