Ni lini JK atakapoanza kwenda Bagamoyo kwa helikopta ili kupunguza foleni?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,004
Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo?
Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake.
Pia kutumia helikopta kutaipunguzia serikali mzigo wa gharama zitokanazo na posho za madereva na mafuta kwenye mashangingi ya kilimo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji,Mzee wa Uji, bora JK aanze kutumia Helkopta ili afate nyendo za akina G. Saitoti. angalau ukombozi uwe rahisi zaidi!
 
akiwaona mmepaki vigari vyenu pembeni ndiyo furaha yake..vipi huwaanawapungia mkono..
 
Hawezi kuelewa kwa Kuwa Hana qualities za uongozi wala idea ya the simplest economic theory kwamba kwa kuwa serikali haizalishi Bali kwa kutunyongs kwa kodi, basi tuache ngombe tunaokutumikia wewe na familia yako na rafiki zetu walau tufike kazi ni na nyumba ni Kwetu wakati musfaka. anachosha na kuboa kuliko, kwa Kuwa hatuna namna ya kuwasiliana na shetani tunaomba mungu aharakishe kuondoka kwake, hatumpendi, tuna chukka uswahili wake wa kupita kipimo
 
Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo?
Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake.
Pia kutumia helikopta kutaipunguzia serikali mzigo wa gharama zitokanazo na posho za madereva na mafuta kwenye mashangingi ya kilimo kwanza.
Bwana Bujibuji, usijidanganye kuwa akitumia chopa atapunguza gharama. sanasana ataongeza gharama kwa sababu yeye ataenda kwa chopa na hao madereva na magari yote yataenda kama kawaida ili akutane nayo hukohuko kijijini
 
Mchako wa kununuaulishaanza na mafungu yalishajulikana kupitia kwa dalali wa kitaifa Tanil Somaiya wa Rada. Dili lilivurugwa pale vijisenti vilipo gunduliwa kule Visiwani Jersey
 
Last edited by a moderator:
Mpaka kipindi cha kampeni endapo CDM watatumia helcopter na wao
 
Bwana Bujibuji, usijidanganye kuwa akitumia chopa atapunguza gharama. sanasana ataongeza gharama kwa sababu yeye ataenda kwa chopa na hao madereva na magari yote yataenda kama kawaida ili akutane nayo hukohuko kijijini

Hao madereva na magari yao yote hayo wanaenda kufanya nini? Jamaa si yuko mapumziko?
 
Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo?
Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake.
Pia kutumia helikopta kutaipunguzia serikali mzigo wa gharama zitokanazo na posho za madereva na mafuta kwenye mashangingi ya kilimo kwanza.

watamuonaje akipita juu . hujui ile foleni akipita inaongeza heshima ya rais?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sahau mkuu, ataonyeshaje ufahari wake mbele ya wanabagamoyo kama akipita angani? Fahari yake ni pale mnaposimama na kumtazama akipita kwa mbwembwe hata kama hampendi. Tke it from me
 
Kuna siku nilikutana nae njiani alikuwa anatoka birthday ya mshikali wake uko msoga tulikaa nusu saa
 
Back
Top Bottom