Ni lazima mwanangu akikua ajue coz ninajuta kumpenda baba yake

Achana na huyo baba watoto hana mana yyt atakutesa roho yk na mwisho wa siku atakuambukiza virusi ktkn na ktkua mwaminifu, mlee "ANGEL" wako na MUNGU atakusaidia utapata rizk na maisha yataenda vizuri. na hy guluguja aliyemtelekeza malaika huyo atapata adhabu hapahapa duniani,MDOGO WANGU USIVUNJIKE MOYO.
[asante sana kwa kunipa moyo ndugu yangu.ni wachache wenye moyo wa upendo kama wako.

]
 
dada yangu acha kufikiria suala la kuvunja mahusiano jaribu kwanza kuangalia suala la mtoto makuzi na kaa na mwenzako mjadili .. kuna mambo nimeuliza huko hayajajibiwa
 
Pole sana na machungu makali!

Kuhusu kumwambia mtoto wako; sijui lengo lako hasa ni nini? Awe bitter kama wewe? Sikushauri, mlee katika mapenzi ili ayajue na ayaishi mapenzi badala ya chuki!

Wewe shukuru Mungu, kwani kuna msemo ambao umetusaidia wengi usemao "it could have been worse". Imagine angekuacha ukiwa na watoto say 3 na ukimwi juu! Shukuru Mungu, bado una afya nguvu na akili! Wangapi wamefiwa na waume zao na wakafight!

Stop being being bitter; simama na uanze upya!
 
[sipafahamu kwao wala yy hapafahamu kwetu.ndo tulikuwa kwenye mchakato nikijifungua aje kwetu then twende kwao ndo turudi nyumbani kwetu dar.
~wazazi wote wawili wanfahamu cc kukaa pamoja.na huwa wanakuja kututembelea
~ckuwahi kutaka kumfikiria hivyo.coz ningeumia kutokana na kumpenda sana.
~kuhusu kupandikiza mtoto chuki siwezi ninachotaka kufanya ni kumweleza ukweli kabla ya yeye kuniuliza baba yuko wapi.

]
 
Mpenz pole sana! Ni hacra tu za sasa baada ya muda zitapoa! Usilifanye kosa hilo hata siku moja mmegombana wewe na yeye mtoto hahusiki kabisa! Yule ni baba yake haitobadilika katu. Hakuna adhabu nzuri kama kumtendea wema mbaya wako! Kaza buti jipange simama rudi Dar tengeneza maisha!

hayo ndo maneno! Thanks
 
[sipafahamu kwao wala yy hapafahamu kwetu.ndo tulikuwa kwenye mchakato nikijifungua aje kwetu then twende kwao ndo turudi nyumbani kwetu dar.
~wazazi wote wawili wanfahamu cc kukaa pamoja.na huwa wanakuja kututembelea
~ckuwahi kutaka kumfikiria hivyo.coz ningeumia kutokana na kumpenda sana.
~kuhusu kupandikiza mtoto chuki siwezi ninachotaka kufanya ni kumweleza ukweli kabla ya yeye kuniuliza baba yuko wapi.)

Nshakwambia we relax bana,nyonyesha mtoto, mpe mapenzi,acha kumwabukiza ma negativity,kwanza hayamhusu, kababy kenyewe hata akili ya kuelewa bado.Haya ya ntamwambia mtoto ni hasira tu itaisha na usijeshangaa ukazaa naye mtoto mwingine,si unajua zimwi likujualo?
 
Pole. Kabla sijatoa ushauri wng nakulaumu ktk hili "Uliwezaje kujenga urafiki na m2 kwa kipindi cha miaka6 usiweze kufahamu japo chembe ndogo ya kule anakotoka? yani wilaya/ kata(mtaa) anyway hata ndugu zake wa karibu!
Ushauri Huna sababu ya kusubiri mtoto akue na umweleze haya.Hahusiki na kutoelewana kwako na baba yake. Chakufanya jaribu kuwatimia marafiki zake na zaidi ya hayo kama maekuambili hawezi kuja kumwona mtoto mpaka urudi Dar basi ujue anakuita urudi kwako. Tulia usikurupuke, vumilia.
 
[sipafahamu kwao wala yy hapafahamu kwetu.ndo tulikuwa kwenye mchakato nikijifungua aje kwetu then twende kwao ndo turudi nyumbani kwetu dar.
~wazazi wote wawili wanfahamu cc kukaa pamoja.na huwa wanakuja kututembelea
~ckuwahi kutaka kumfikiria hivyo.coz ningeumia kutokana na kumpenda sana.
~kuhusu kupandikiza mtoto chuki siwezi ninachotaka kufanya ni kumweleza ukweli kabla ya yeye kuniuliza baba yuko wapi.

]

dada yangu mimi naamini haki ya kwanza ya mtoto amfahamu baba yake hata kama kuna tatizo///

je wewe ukirudi una sehemu ya kufikia au ndo unatakiwa kufikia kwa huyo bwnaa ??
 
Pole. Kabla sijatoa ushauri wng nakulaumu ktk hili "Uliwezaje kujenga urafiki na m2 kwa kipindi cha miaka6 usiweze kufahamu japo chembe ndogo ya kule anakotoka? yani wilaya/ kata(mtaa) anyway hata ndugu zake wa karibu!
Ushauri Huna sababu ya kusubiri mtoto akue na umweleze haya.Hahusiki na kutoelewana kwako na baba yake. Chakufanya jaribu kuwatimia marafiki zake na zaidi ya hayo kama maekuambili hawezi kuja kumwona mtoto mpaka urudi Dar basi ujue anakuita urudi kwako. Tulia usikurupuke, vumilia.

kuna mapungufu fulani kwenye mahusiano yao na naamini kuna jambo limejificha
 
dada yangu mimi naamini haki ya kwanza ya mtoto amfahamu baba yake hata kama kuna tatizo///

je wewe ukirudi una sehemu ya kufikia au ndo unatakiwa kufikia kwa huyo bwnaa ??[/sina but ndugu zangu nimewaeleza hali halisi na wengine wameshuhudia na wamenishauri hakuna haja ya kurudi huko coz natakiwa kumshukuru mungu mtoto ni mzima wa afya na mm pia ni mzima wa afya.so nitafikia kwa dada yangu mkubwa nikiendelea kufanya mchakato wa kupangisha nyumba ya kuishi nianze maisha mapya

dada yangu hili suala umelichukulia kwa hasira sana maana umeshalipenyeza mpaka kwa ndugu wakati hili suala lilikuwa liko ndani ya uwezo wako na naamini ungeliweza
 
Wadada wengi tuna matatizo ya kutoelewa anayekupenda na kutamani. Dada haiwezekana huyo mwanaume from no where akudump there is something behind. Nikionacho mimi ila usinielewe vibaya; hiyo mimba ulibeba kwa utashi wako siyo wa mwanaume ndiyo maana hana time na mtoto waa wewe.

Wadada tuache tabia ya kufikiri kwamba ukibeba ujauzito ndiyo mwanaume atakupenda zaidi, tunajidanganya wenyewe matokeo yake tunabaki kuwa maibobo (street women). Chukua hatua, soma alama za nyakati, akupendaye anaonekana na kujai kwa kiwango kikubwa.

Hiyo issue unayosema eti utamwambia mwanao unapoteza muda, zaidi unatengeneza hate kati ya mtoto baba yake kitu ambacho mwanao anaweza kukiona cha kijinga na bado akampenda babake vizuri tu. Na usijidanganye huyo ni babake (original), huna jinsi ya kuwatenganisha.

Pole kwa yote. Fanya kazi kwa bidii, lea mtoto wako!! .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
pole mamito..wanaume ndo walivogo...maisha yanaendelea songa mbele usiangalie nyuma mtoto mpe haki yake ya kumjua baba yake but kama baba akijua kuna umuhimu wa kufanya ivo....hakuna kulazimisha siku hizi..pole sana mwaya
 
hivi nani alipendekeza suala la kubeba mimba au ndo yale ya kusema bahati mbaya??? vipi ushiriki katika uleaji wa mimba???
 
habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja anafanyakazi wizara ya ardhi dsm.kwa muda wa takriban miaka 6 sasa.na nilikuwa naishi naye na.tuliishi kwa upendo na amani.nikapata ujauzito nikalea mimba nikiwa nae mpaka ikafika muda wa kwenda kujifungua nikasafiri kuja kwetu kaskazini kujifungua.cha kushangaza
TOKA MWEZI WA 7 MWAKA HUU NILIVYOONDOKA:~
Hajawahi kutuma hela hata sent ya kubust matumizi na nimeshajifungua mtoto ana mwezi 1 sasa.
~hajaja kumsalimia mtoto wake toka amezaliwa
~kila nikimpigia simu ananiambia yupo baa na marafiki zake.
~kibaya zaidi kaniambia hatakuja kumsalimia mtoto anasubiri nirudi dar.
NA CHAKUSHANGAZA SASA.
WIKI 3 ZILIZOPITA ....
make-homemade-weighing-scale-800x800.jpg
....mama acha kushangaa bana, hebu lea mtoto...miaka sita ya raha mustarehe unaitupa kwa miezi saba tu tangu mtoto azaliwe? si keshasema atamlea ukisharudi naye mjini? huwezi jua bana, labda wa mjini weshamwambia mtoto si wake. Una maamuzi ya haraka mno, hebu mpe muda baba mtoto amuone mwanawe bana....
 
pole sana dada,najua unahisi dhiki,tabu,kusalitiwa na mengine mengi hasa ukifikiria kua umegombana na wengi kwa ajili yake,chamsingi kwa sasa weka akili yako sana kwenye kumlea mtoto wako huyo sio mwanamme ambae anastahili chozi lako,mshukuru mungu umetoka salama kwenye uzazi na umetoka salama kwenye mikono ya huyo shetani,kwani huwezi jua nini kingetokea ungekaa nae zaidi,jikaze mama utashindaa wala usijidhalilishe kutafuta tena imetoshe huyu mwanamke wake alovyo kujibu anajisahau kama aliweza kukutenda wewe mama mtoto wake seuze yeye CD..
 
....mama acha kushangaa bana, hebu lea mtoto...miaka sita ya raha mustarehe unaitupa kwa miezi saba tu tangu mtoto azaliwe? si keshasema atamlea ukisharudi naye mjini? huwezi jua bana, labda wa mjini weshamwambia mtoto si wake. Una maamuzi ya haraka mno, hebu mpe muda baba mtoto amuone mwanawe bana....

mtoto ana mwezi tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ulipenda sana! Ukaacha chuo! Ukagombana na Ndugu! Ukazalishwa! Sasa unajuta.. Unajua smtymes wanawake m2mie akili zitokazo ubongoni si sehemu nyngne! Ulikurupuk mamie ukadhani umefika katika Mikono ya Mungu ukaona u salama. Sasa wajuta. Cha kukushaur Pokea tu maumiv uliyojitakia kwa kutokufahamu au kutokujifunz hapo Mwanzo.
 
Thanx nimekupata ndo naendelea nayo]
 
[tulikubaliana wote coz tulikaa muda mrefu na kipindi chote tulikuwa mm na yeye tu.tukaona tuongeze familia ambayo ni mtoto. Matokeo yake nimebaki lonley]
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom