Ni lazima mwanangu akikua ajue coz ninajuta kumpenda baba yake

Ndio maana mimi huwa nasema siku zote ukitaka kufaidi penzi la mwanamke wa kitanzania nenda kaoe uchagani, hata kama hawajui kukata viuno ila mapenzi ya kuishi na mume wanayajua. uchagank ukishaolewa wewe sio wa kwa wazazi ni wa ukweni 100%.

Mi nadahni ulikosea, kama ungeenda kukaa kwa wakwe zako (wazazi wa mumeo) huyo bazazi wako asingethubutu kufanya huo ujinga kwani familia yake isingekubali hilo litokee wakati uko kwao. Waswahili bwana, mimba ameipata kwa mumewe, karaha ya kulea wanaenda kuipata ndugu wa mke.

Congrats wachaga, once you go to your husband, you belong to him and his family. Ndio maana wanajua kukaa na waume zao.
 
Ndio maana mimi huwa nasema siku zote ukitaka kufaidi penzi la mwanamke wa kitanzania nenda kaoe uchagani, hata kama hawajui kukata viuno ila mapenzi ya kuishi na mume wanayajua. uchagank ukishaolewa wewe sio wa kwa wazazi ni wa ukweni 100%.<br><br>Mi nadahni ulikosea, kama ungeenda kukaa kwa wakwe zako (wazazi wa mumeo) huyo bazazi wako asingethubutu kufanya huo ujinga kwani familia yake isingekubali hilo litokee wakati uko kwao. Waswahili bwana, mimba ameipata kwa mumewe, karaha ya kulea wanaenda kuipata ndugu wa mke. <br><br>Congrats wachaga, once you go to your husband, you belong to him and his family. Ndio maana wanajua kukaa na waume zao.
 
Kinta kwanza pole. Pili ngoja nikupe mfano hai wa kwangu binafsi.Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na rafiki,akapata mimba,kipindi cha uja uzito tuli differ na akanitamkia hivi:'kuanzia leo usinijue na mtoto akizaliwa nitajua mwenyewe nitampa u bin gani'.Tunavyoongea hivi leo huyu ndo mtoto wangu kipenzi na mi na mama yake maelewano 100%.Usiapize Kinta kwani ya leo sio ya kesho.Mungu amekujalia umejifungua salama,relax,lea mtoto kwa mapenzi,u bin wa babake mpe,mengine mwachie Mungu.'Vengeance is not mine' ndo dini zinavyotufundisha.
 
lakini mbona hajatangaza kukuacha? kama vp we si utie timu tu dar halafu mambo mengine utajua huko huko? Jifunze kupigania kile unachokitaka na kukipenda ktk maisha yako. Komaa kama vipi utanyang'anywa hata 'underwear zako'
 
Pole sana dada, punguza hasira. We mlee tu mwanao achana na mambo ya baba yake yatakuongezea stress tu!!
 
Sasa umpe hicho kisa ili iweje? Amchukie baba yake kama unavyomchukia wewe?


Nyani Ngabu
Ili ajue ukweli kuhusu baba yake. i.e Alimtekeleza mama yake, alipozaliwa, he didnt bother to make time to come and see the baby, after birth !! Na kama knowing all of this, itamfanya amchukie babaye, then huyo baba has no one to blame but himself. Kwanini afagilie vitu uvunguni, ilahali jamaa mwenyewe anamfanyia upuuzi kama huu?It's high time for women,stand up for themselves na waache kuvumilia , and kuuficha ujinga wa wanaume wao usio kuwa na mwisho, Ukazaae uko peke yako, bila mwenzio then unampigia simu anampa kimada ajibu....................urghhh!!!!!!!!!!


Kintakutai
Pole sana, lakini hao ndio wanaume wetu.Ukiwaendekeza watakupandia mpaka utosini.................................. Enewei, cha kufanya wewe kwa sasa ni concentrate na huyo mtoto. Jitahidi usiweke expectation kubwa kwa jamaa, maana disappointments mara nyingi zinatokana na unfulfiled expectation, just know that the less you expect, the less likely you are to be hurt.
 
Hakuna kitu kibaya kama hicho cha kupanda mbegu ya chuki kwa mtoto. Komaa hakikisha mtoto unamlea na anasimama kama mtu wa kueleweka. Dunia hii ilivyo we get lessons in many different ways. Huwezi kujua nini umeepukana nacho
 
najua inauma,wewe mlee mtoto wakp tu,na saa nyengine huyo m.me akitendwa anaweza kuja kukuomba msamaha
 
Nyani Ngabu
Ili ajue ukweli kuhusu baba yake. i.e Alimtekeleza mama yake, alipozaliwa, he didnt bother to make time to come and see the baby, after birth !! Na kama knowing all of this, itamfanya amchukie babaye, then huyo baba has no one to blame but himself. Kwanini afagilie vitu uvunguni, ilahali jamaa mwenyewe anamfanyia upuuzi kama huu?It's high time for women,stand up for themselves na waache kuvumilia , and kuuficha ujinga wa wanaume wao usio kuwa na mwisho, Ukazaae uko peke yako, bila mwenzio then unampigia simu anampa kimada ajibu....................urghhh!!!!!!!!!!

To each his own. Kama anaona kufanya hivyo ni busara na hekima, let her knock herself out.
 
kwanza pole sana na kisa kilichokupata
sasa kuna mambo ningependa kuyafahamu katika mahusiano yenu
  1. mnaishi pamoja je wazazi wanafahamu??
  2. alishawahi kwenda kujitambulisha rasmi kwenu??
  3. je huko uliko ulishawahi kumpeleka ??
  4. nini kilipelekea uende kujifungulia huko uliko??
  5. katika maisha yenu ya kila siku hiyo / hizo tabia za ulevi alikuwa nazo??
  6. ulishawahi kumhisi kuwa na mahusiano zaidi???
kuhusu kuhamisha matatizo yako na ya mzazi mwenzako kupeleka kwa mtoto sidhani kama ni sahihi kwani mtoto unapandikiza mbegu za aina gani???

nadhani ni vyema mtoto akamjua baba hata kama angekuwa chizi
 
Achana na huyo baba watoto hana mana yyt atakutesa roho yk na mwisho wa siku atakuambukiza virusi ktkn na ktkua mwaminifu, mlee "ANGEL" wako na MUNGU atakusaidia utapata rizk na maisha yataenda vizuri. na hy guluguja aliyemtelekeza malaika huyo atapata adhabu hapahapa duniani,MDOGO WANGU USIVUNJIKE MOYO.
 
Hakuna kitu kibaya kama hicho cha kupanda mbegu ya chuki kwa mtoto. Komaa hakikisha mtoto unamlea na anasimama kama mtu wa kueleweka. Dunia hii ilivyo we get lessons in many different ways. Huwezi kujua nini umeepukana nacho

hapa naamini kuna tatizo zaidi na kama mtoto ana mwezi mmoja anaanza kufikiri kupandikiza chuki ??? kwa nini asirudi akaona mwelekeo wa mwenzake ?? na hapa hajakutana naye na kuongea ameanza kufikiria kaachwa je kama ni jambo la muda mfupi???
 
Kwanza pole sana Dada yangu kwa tatizo,

Pili Hongera kwa mtoto kwani kwangu ni kama Baraka kuna wengine wanatafuta mtoto mpaka kwa sangoma na mambo bado bila bila.

USHAURI:

1. Kuhusu kumwambia mtoto:
Nakushauri umuambie mtoto lakini mpaka akiwa mkubwa yaani mwenye maamuzi I mean kuanzia miaka Kumi na nane na kuendelea .

2. Kuhusu kumlea mtoto:

Tafadhali mlee mtoto na pia Usifanye hasira katika kuchukua jukumu peke yako la kule mtoto , NAOMBA UMSHIRIKISHE BABA WA MTOTO, KIVIPI ?
Ukiona mwezi umepita Baba wa mtoto haleti matumizi nenda Ustawi wa Jamii kaeleze tatizo lako , then watakuambia au kukupa barua na kiasi cha malezi (fedha) kutoka kwa baba anachotakiwa kukupa kila mwezi , Kisha nenda KAzini kwake kamuone Boss wake au Watu HR na Utumishi na kila kwenye mshahara wake atakuwa anakatwa na unalipwa malez ya mwanao .

Usimuonee aibu kuwa jasiri nyote wawili mnatakiwa kuchangia katika kule hicho kiumbe cha mungu , tena ukisoma hapa hebu mkiss for me pliizz huyo bbu girl.

UZEMBE NA USIRUDIE TENA:

Utampendaje mtu mpaka unaacha chuo wewe wakati nd maisha yako ya baadae, Siku nyingine hata ukipendwa na RAIS usiache chuo sawa.
na kwa wadada wote wanaosoma hapa iwe funzo .

Pole na kwa heri
 
Kintakutai
Pole sana, lakini hao ndio wanaume wetu.Ukiwaendekeza watakupandia mpaka utosini.................................. Enewei, cha kufanya wewe kwa sasa ni concentrate na huyo mtoto. Jitahidi usiweke expectation kubwa kwa jamaa, maana disappointments mara nyingi zinatokana na unfulfiled expectation, just know that the less you expect, the less likely you are to be hurt.

ni muhimu sana kujali mtoto

naamoni mdada amefikia mapema sana maamuzi ... cha msingi anatakiwa arudi akutane na mwenzake waongee
 
habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja anafanyakazi wizara ya ardhi dsm.kwa muda wa takriban miaka 6 sasa.na nilikuwa naishi naye na.tuliishi kwa upendo na amani.nikapata ujauzito nikalea mimba nikiwa nae mpaka ikafika muda wa kwenda kujifungua nikasafiri kuja kwetu kaskazini kujifungua.cha kushangaza
TOKA MWEZI WA 7 MWAKA HUU NILIVYOONDOKA:~
Hajawahi kutuma hela hata sent ya kubust matumizi na nimeshajifungua mtoto ana mwezi 1 sasa.
~hajaja kumsalimia mtoto wake toka amezaliwa
~kila nikimpigia simu ananiambia yupo baa na marafiki zake.
~kibaya zaidi kaniambia hatakuja kumsalimia mtoto anasubiri nirudi dar.
NA CHAKUSHANGAZA SASA.
WIKI 3 ZILIZOPITA alifungasimu usiku mzima.alfajiri saa12 nikampigia simu ikapatikana lkn haikuwa sauti yake ilikuwa sauti ya kike.cha kwanza kuulizwa 'kwann unamsumbuasumbua mume wangu mara msg mara calls ameshakuacha hakutaki anaogopa tu kukwambia.nikatukanwa na matusi mengine mazito ambayo c ustaarab kuyaandika.then cm ikakata.nadae nikapiga tena akapokea mtuhumiwa baba mtoto wangu.but alikana katakata hakuwa na mtu.ckupendezwa nikamwambia basi aendelee na ustaarabu wake na mm nitalea mtoto peke yangu coz hata nikimtegemea ni kazi bure coz hakuna alichowahi kunisaidia.
KINACHONIUMA.
~nilimpenda kupita kiasi
~nilipoteza vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuacha chuo ajili yake.
~niligombana na ndugu zangu coz of him.
~nw nimeishia njiani sijui nimtambulishe mwanangu kwa baba yake au niache.na sijui moyo wangu utawezaje hata kuniruhusu kuongea nae coz ninamchukia vibaya sana.
AND THATS Y NASEMA MTOTO WANGU AKIKUA LAZIMA NIMPE KISA CHA BABA YAKE.COZ AMENITENDA HASWA.
NAWASHAURI MABINTI KAMA NI KUPENDA IWE NI KWA KIASI ISIWE TOO MUCH THEN MUWE NA MIOYO YA UJASIRI.
Pole sana dada yangu. Binafsi ninasikitishwa sana na tabia za namna hii ( irresponsible behavior) tulionayo wanaume wa sasa, ninapokusikitikia najisikitikia mwenyewe vilevile na gf wangu kwa kuwa sijaoa, Mungu atusaidie . Wewe si wa kwanza, kuna dada mmoja rafiki yangu alipata mateso kama yako. Kilichomsaidia ni kwamba alikuwa na uwezo wa moyo na wa mali, moyo kwa maana ya uvumilivu lakini pia alikuwa na uwezo wa kumtunza mtoto wake. Ilimchukuwa miaka miwili kabla jamaa hajazinduka na kuona kwamba hawezi kupata mwanamke aliyempenda kama yule dada. Baada ya mateso ya muda mrefu yule jamaa alijirudi, wakafunga ndoa na wanaishi maisha yao kwa ajili ya sifa na utukufu wa bwana. Najua utayashinda na wewe lakini lazima uwe na moyo, washirikishe ndugu zake mkae mzungumze.
 
Mpenz pole sana! Ni hacra tu za sasa baada ya muda zitapoa! Usilifanye kosa hilo hata siku moja mmegombana wewe na yeye mtoto hahusiki kabisa! Yule ni baba yake haitobadilika katu. Hakuna adhabu nzuri kama kumtendea wema mbaya wako! Kaza buti jipange simama rudi Dar tengeneza maisha!
 
Mpenz pole sana! Ni hacra tu za sasa baada ya muda zitapoa! Usilifanye kosa hilo hata siku moja mmegombana wewe na yeye mtoto hahusiki kabisa! Yule ni baba yake haitobadilika katu. Hakuna adhabu nzuri kama kumtendea wema mbaya wako! Kaza buti jipange simama rudi Dar tengeneza maisha!

kawaida tatizo huwa si tatizo tatizo huja kwenye maamuzi
 
Back
Top Bottom