Ni lazima kuwa member wa nssf??

Dec 21, 2010
22
0
Wadau naomba kusaidiwa uelewa katika hili. Hivi ni lazima kwa watumishi wote wa serikali, mashirika ya umma na yale yasiyo ya kiserikali kuhifadhi mafao yao katika mfuko wa NSSF?. Na kama si lazima ni taratibu zipi zifuatwe ili kuhamishia mafao yao katika mifuko mingine ya jamii kama PSPF na mingineyo.
 
Nahisi ni ubabe wa mwaajiri (serikali) sidhani kama ni lazima kujiunga na NSSF. Hawa jamaa sina hamu nao kabisa kwa jinsi walivyo wasumbufu. Looh!!
 
Back
Top Bottom