Ni kweli?

Lady

JF-Expert Member
Apr 12, 2010
282
61
Wanawake wanajali (caring) na wanafahamu kupenda (loving),

Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha,

Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali,

Wanawake huweza kusimama mahali popote kwa ajili ya kitu wanachokiamini ni the best kwa watoto wao.

Wanawake wanauwezo wa kutabasamu hata kama wamechoka, hawawezi kujizuia.

Wafahamu namna ya kubadili mlo wa kawaida na kuwa special kwa occasion yoyote.

Wanajua jinsi ya kumfariji rafiki au mtu ambaye anaumwa.

Wanawake huleta kicheko na furaha duniani.

Wanajua namna ya kumliwaza mtoto kwa saa nyingi.

Wanawake wengi ni wakweli na watiifu.

Wanawake wengi hujikuta wanatoa machozi wanapojikuta wanakosa haki yao.

Wanawake wanafahamu wafanye nini ili mwanaume ajisikie ni mfalme.

Wanaweza kwenda extra mile kumsaidia rafiki yao.

Wanawake wanawezesha dunia kuwa mahali bora kuishi.

Wanaume wana sifa muhimu zipi?
 
SIFA ZA WANAUME:

Wanashikilia asilimi 90% ya uchumi wa dunia.
 
Kweli kabisa!!!
 
1.wanawake ni muhimu sana katika dunia, wao ndio wametufanya sisi wanaume tuwe kama tulivyo
2.Wanaume nasi ni muhimu sana katika dunia, sisi pia tumewafanya wanawake wawe kama walivyo.
 
Wanawake wanajali (caring) na wanafahamu kupenda (loving),

Hii ni kweli, japo kuna wengine caring yao ni ya kisanii, mtu akiishiwa na wao wanaishia.

Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha,

Hata wanaume wakifurahi sana hutoa machozi, so ni hali ya kawaida kwa binadam yeyote mwenye feelings.

Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali,

Ni kweli, lakini wanaume wengi huangalia ni mambo yepi makubwa ya kufanya. Mfano, utamaduni wa maua, kadi na mengineyo ni wa kimagharibi. So wanaume wengi hawana asili ya mambo madogo madogo, ndio maana wengi wao hujikuta wanatumia hela nyingi sana kwa kuhonga ama kununua zawadi za mpenzi, wakiamini kwamba ndo wataonekana wanajali.

Wanawake huweza kusimama mahali popote kwa ajili ya kitu wanachokiamini ni the best kwa watoto wao.

Ni kweli, kwa kuwa waafrika wengi tuna amini kwamba swala la kuhudumia watoto in terms of their needs ni swala la mama. Baba kazi yake ni kutoa hela na then mama hufanya kazi ya kuwanunulia nguo. Kumbuka kwamba sometimes kuna wanaume wanaweza kuwa hawajui hata nguo nzuri za kuvaa. Kuna wanaume kibao ambao ninawafahamu walikuwa rough kabla ya kuwa ma-gf/mke, lakini mara baada ya kuoa/kuingia kwenye mahusiano wanaanza kuwa very smart. So wengi wetu tuna poor choice ama hatujui kipi ni best kwa hitaji ya mavazi na kujiweka soap soap. Lakini ukituuliza gari linalofaa tutakuambia na tuko tayari kukaa kwenye mtandao kulisaka hata kwa masaa 20.

Wanawake wanauwezo wa kutabasamu hata kama wamechoka, hawawezi kujizuia.

Lakini huwa hawawezi kutabasamu wakiwa wamekasirika ama wamepewa taarifa za umbea kuhusu nyendo za mume/bf, hata kama umbea huo hauna ukweli wowote.

Wafahamu namna ya kubadili mlo wa kawaida na kuwa special kwa occasion yoyote.

Ni swala la training na si wote wenye uwezo huo. Wengi wa wale waliokulia kwenye mazingira ya beki 3 (house girl/maid) kufanya kazi zote za ndani, huwa hawawezi kufanya hayo, na wengi wao watakuambia twende Holiday Inn ama Royal Palm.

Wanajua jinsi ya kumfariji rafiki au mtu ambaye anaumwa.

Kuna wengine hufanya hivyo kwa kumsanifu huyo rafiki, wanawake wengi huwa wana tabia ya unafiki. Anaweza kujifanya rafiki anakuja kukusalimia ama anakuja kukufariji na kumbe anachunguza maisha yako na unaumwa nini, akitoka hapo lazima atangazie wengine na si ajabu akaanza kusema una ngoma na kumbe ni afya imeyumba tu. Je, uliwahi kuona enzi za zeutamu wanaume wakisemana? Hapa kuna mada ya dada anajishaua kwamba kaolewa na mzungu na kabandika picha na hivyo ni vijembe vya rafiki ambao anawafahamu au wanamfahamu. Hakuna mtu anaweza kurusha kijembe kwa mtu ambaye hamfahamu.

Wanawake huleta kicheko na furaha duniani.

Na wengine husambaratisha mahusiano ama kuvunja ndoa kabisa. Siyo wote wanaoweza kuleta kicheko na furaha. Wengi wao wivu, chuki na mengineyo huwafanya wasababishe kinyume cha hayo.

Wanajua namna ya kumliwaza mtoto kwa saa nyingi.

Very true, akina baba huwa tuna haraka na hatuna muda wa kubembeleza sana. Lakini pia wapo akina baba wenye subira ambao wanaweza kucheza na mtoto na kumliwaza kwa njia tofauti. Nina mifano hai.

Wanawake wengi ni wakweli na watiifu.

Na kuna wengi ni wasanii na matapeli wa kufa, atasema anakupenda na kumbe anapenda kile ulicho nacho. Kikiisha ama kupotea na yeye anapotea.

Wanawake wengi hujikuta wanatoa machozi wanapojikuta wanakosa haki yao.

Ndiyo silaha yao, kulia ni mojawapo ya kupunguza machungu, hasira na frustrations. Kama hana ubavu wa kupambana ndipo hutoa machozi akidai haki yake.

Wanawake wanafahamu wafanye nini ili mwanaume ajisikie ni mfalme.

wapo pia wanaume wenye uwezo wa kumfanya mwanamke ajisikie malkia na hasa mwanzo wa mapenzi ama kama ni kibanda hasara/nyumba ndogo. full time ni text za i miss u, i love u na wishes kibao. zawadi kedekede na out za kumwaga tena kwenye viwanja vikali. hujawahi kuona wababa wanabeba handbag ya mama au wakifika waendako baba anatoka haraka kwenda kumfungulia mlango mamaa ili ashuke kwenye gari?

Wanaweza kwenda extra mile kumsaidia rafiki yao.

Very few and with big NO

Wanawake wanawezesha dunia kuwa mahali bora kuishi.

Kivipi? Wao wenyewe hawapendani na kama wanapendana kikweli basi ni wachache. Vyanzo vya habari za udaku kwenye Magazeti ya Shigongo ni hao hao wanawake, kisa ni kukomoana na kuumbuana.

Kwa hiyo ninapingana na maelezo yako kwa 85%, siyo wanawake wote wenye hizo sifa. Sifa nyingi ulizotaja ni za wachache sana.

Zama za DHB akina dada wengi walikuwa marafiki sana na wanachat msn/yahoo messenger, after few days yale waliyoambizana kwenye msn (siri) utaanza kuyasikia kwa wasichana wengine ama kwa wakaka wengine na wengine walikuwa wanafika mahali wanarushiana makombora ndani ya forum. Sikuwahi kuona wanaume wamerushiana makombora ana kugombana. Kama ni marafiki kikweli, why uanze kuanika siri za best yako kwa watu wengine?

Wanawake watakuwa na sifa hizo zote iwapo wengi wao wataacha tabia za unafiki, umbea, kusengenyana, kuzungukana, wivu, kuchimbana, kuchunguzana maisha yao na mengineyo yenye malengo hasi.
 
Wanawake wanajali (caring) na wanafahamu kupenda (loving),

Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha,

Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali,

Wanawake huweza kusimama mahali popote kwa ajili ya kitu wanachokiamini ni the best kwa watoto wao.

Wanawake wanauwezo wa kutabasamu hata kama wamechoka, hawawezi kujizuia.

Wafahamu namna ya kubadili mlo wa kawaida na kuwa special kwa occasion yoyote.

Wanajua jinsi ya kumfariji rafiki au mtu ambaye anaumwa.

Wanawake huleta kicheko na furaha duniani.

Wanajua namna ya kumliwaza mtoto kwa saa nyingi.

Wanawake wengi ni wakweli na watiifu.

Wanawake wengi hujikuta wanatoa machozi wanapojikuta wanakosa haki yao.

Wanawake wanafahamu wafanye nini ili mwanaume ajisikie ni mfalme.

Wanaweza kwenda extra mile kumsaidia rafiki yao.

Wanawake wanawezesha dunia kuwa mahali bora kuishi.

Wanaume wana sifa muhimu zipi?

haya hapa ni ya kweli kabisa namuunga mkono mtoa mada
wanaume tuna sifa ya kuforce mambo yafanyike hata kama hayawezekani lakini mwisho huwa na mafanikio
 
Nakubaliana na hii mada maana wanawake wana moyo sana ila ni wanaume ndio wenye matatizo zaidi..
 
Si kweli.............binadamu wote tunakuwa tunavyokuwa
kutokana na malezi na watu tunaokumbana nao.......
 
Very right but I could think of great characters of MEN...
MEN are best Leaders (I could see why God Choose Men to be prophets), Good Providers, Good protectors Good fighters, good footballers and Good lovers... ah the list is long
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom